IzimeUsinipigie kelele. Alert zako zinaniamsha.
Africa mashariki na kati[emoji78] [emoji78]Hahahaaaa!! Mcheza kwaito mashuhuri.
Yaani nikioa mwanamke kama wewe si nitakuwa nakukoa?!Izime
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]Africa mashariki na kati[emoji78] [emoji78]
Tunakoana.Yaani nikioa mwanamke kama wewe si nitakuwa nakukoa?!
[emoji1] [emoji1] [emoji1] [emoji1]Nani huyu kaja kufukua makaburi tena...
Kuolewa ni ajira pia mkuuWatu sana vituko huku ndani, mi nilijua tangazo la kazi
Huu sio ujanja au mligombananonsense
Nenda tu pm ukafanye mapinduzi, bonge la bwana afu mtamutamu unaweza ukamtafuna tafuna.
Kumbe mtamu eeeh?? Piemu kwenyewe mbona hajibu? Atakua keshapata huyuNenda tu pm ukafanye mapinduzi, bonge la bwana afu mtamutamu unaweza ukamtafuna tafuna.
[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]
Unajikatisha tamaa mwenyewe!! Subiri atakuwa hana bando[emoji85][emoji85][emoji85]Kumbe mtamu eeeh?? Piemu kwenyewe mbona hajibu? Atakua keshapata huyu
Sent using Jamii Forums mobile app