Shadeeya
JF-Expert Member
- Mar 12, 2014
- 49,759
- 118,798
Sio kupondea tu anaweza kuongeza na yakwakeHahaha badala ya kutafsiri atapondea
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Sio kupondea tu anaweza kuongeza na yakwakeHahaha badala ya kutafsiri atapondea
Ndo useme sasa utaaply?Basi sawaa
Sio kupondea tu anaweza kuongeza na yakwake
Hahahaha! Umenikumbusha mbali sanaaHivi ile elimu ya msingi inaendana na hiki kiinglishi kweli!! Maana mie nazikumbuka picha za familia ya mr and mrs Daudi tu, ila lugha iliniwereva kwakweli.
Ndo useme sasa utaaply?
Changamkia fursa hiyo, au we tayari??
Nipo busy na-draft application hapa, ntakutafsiria baadaye sana. Uwe tu unanisaidia kukemea huko roho ya kukatwa
Unamaanisha bado upo form two?Hapana mkuu sitaki msure aende jera miaka30
[emoji3] [emoji3] [emoji3] [emoji3] Naomba usisahau na ile supu tafadhali.Hahahaa hilo fumanizi unaloliandaa zikitokea ngumi humu nawahi chapati walizopika jukwaa la mapishi nakimbia nazo
Nije wizout au?UCHOCHEZI.
Njoo central...
[emoji3] [emoji3] [emoji3] [emoji3] [emoji3]Hii ngumu bana. Ile ilikua nyepesi(kwa mwalimu tu) wengine tulikua tunawaza kengele igonge tukale barafu
Yaani acha tu.Hahahaha! Umenikumbusha mbali sanaa
Sasa mpendwa si unitafsirie ili kama ni fursa nichangamke.Changamkia fursa hiyo, au we tayari??
Sasa mbona unazidi kuweka mambo magumu, kichaga wengine hatujui.Kiongozi na huko pm utatumia lugha ya mkoloni? Unaweza toka kapa, jaribu japo kichagga .