Mkuu napanga safari maalum kurudi bongo likizo mahsusi tu nimuone kwa macho yani live. Baada ya kumuona huyu my dream girl nitamruhusu Mungu anichukue tu kwani my life time wish would be fulfilled.Yeye je anajua unamkubali?vunja ukimya sema nae
Nakubaliana na wewe, mtoto ana nafaka ya kushatoIla Vale Nafaka ni mzuri na mrembo. Mungu kampendelea sana huyu binti.
Kwaanzia kwenye unyayo katikati hadi utosini.
Hii pisi ni balaa. Yani hadi nashindwa kuelezea maamaee walahi.
Kwa wale wasiomjua Valentina Gabriel ni binti mdogo tu wa miaka 25 anajishughulisha na maswala ya kilimo na nafaka.
Ni msomi mwenye digrii ya ualimu chuo kikuu cha DSM.
Ndiye mwanamke pekee mwenye makalio makubwa mwenye akili.
God bless and Protect Vale Nafaka.
Die hard secret admirer!
View attachment 3647752View attachment 3647753
Grahams min -me MamaSamia2025
Kuna mikunjo ukimweka kitu iki hapa maji ataita mmaHuyu akikupa mchezo mpaka uufikie mchezo sio mchezo
Mkuu unaona watu wa kaskazini venye wako smart upstairs naturally, tofaut na nyie watoto wa DSMNi manka wakichaga
Na kuufikia mchezo inabidi usifanye mchezo πHuyu akikupa mchezo mpaka uufikie mchezo sio mchezo
Em tupe mawili matatu πKuna mikunjo ukimweka kitu iki hapa maji ataita mma
Hahahahahaaaaa hakika ni zawadi kutoka kwa Mungu kwasisi mabaradhuli ππππNaungana na mleta uzi kuwa huyu mtoto ni mzuri kupitiliza. Huwezi kuongelea uzuri wa mwanamke bila kumtaja Vale kama mfano hai. Ingawa ndugu loose Nut ni baradhuli mwenye tamaa ila kaongea ukweli kuhusu uzuri wa Vale.