Vale Nafaka ni mzuri wa asili hilo halipingiki

Vale Nafaka ni mzuri wa asili hilo halipingiki

Ila Vale Nafaka ni mzuri na mrembo. Mungu kampendelea sana huyu binti.

Kwaanzia kwenye unyayo katikati hadi utosini.

Hii pisi ni balaa. Yani hadi nashindwa kuelezea maamaee walahi.

Kwa wale wasiomjua Valentina Gabriel ni binti mdogo tu wa miaka 25 anajishughulisha na maswala ya kilimo na nafaka.

Ni msomi mwenye digrii ya ualimu chuo kikuu cha DSM.

Ndiye mwanamke pekee mwenye makalio makubwa mwenye akili.

God bless and Protect Vale Nafaka.

Die hard secret admirer!

View attachment 3647752View attachment 3647753

Grahams min -me MamaSamia2025
Nilikuwa sina mpango wa kuuza mpunga wangu mwaka huu, ila kwasababu yake itabidi nimwite aje nimuuzie tu 🤭

Nimechoka kula kwa macho 🤪
 
Back
Top Bottom