hahahaha huyu 'Valentina' ni mke mwenzangu ujue alikuwa anaendekeza michepuko sa baada ya kuolewa na uran sijui atakuwa kaacha?
Valentina my swt, ur hubby karudi huku.
Anaomba uache michepuko, yeye anakupenda sana. Baki njia kuu.
Ni nature ya nwanaume kucheat but wanawake huwa wanaplan kucheat pale tu mume wake anapokuwa na vidum Valentina najua unamlipizia mumeo alichokufanyia please rudi nyumbani ndoa haidumu kwa kulipiziana
OMG: Hw lucky i'm!! I don no hw to explain my hapines hia. Bt i wana u tu no tht i wll always lv u,an i born to make u happy my sweetheart uran
Acha kuita ita mke wa mtu hivyo
Wewe mbona ukiingia kwenye 18 zangu unakimbia?!.
akutafutie nini, achana na mke wangu wewe
Jiran yangu habari yako. Nimesha msamehe my hubby sasa nikujenga familia....
Hahahaha haya leo nimefika kwenye 12 zako haya nambie
Jiran yangu habari yako. Nimesha msamehe my hubby sasa nikujenga familia....
Ah! mama umekuja huyu jamaa alikuwa hamjui mke wangu ndo katajiwaKuna nini hapa mme wangu mbona natajwa???
Shostito habari yawewe! Niko njia kuu kwasasa. Yale magenereta nshayaacha