Honey Faith
JF-Expert Member
- Aug 21, 2013
- 15,782
- 11,819
Naomba nikuoe kabisa niturie na mimi nimechoke kuvua kunguo kwa kila msichana mwisho nitakuwa nimependeza na suit wao wananiona kama Niko uchi, plz sitakuumiza.
halafu kumbe wewe ni mhindi....nilikuwa sijuagi mwenzio
Nimepotea hata hunitafuti?! Nipe pole kwanza basi!
Mwenzangu mie mwenyewe nilijua ngozi nyeusi kumbe mtoto wa kuch kuch
such a nice words.
its coming from my heart.
i love you deeply.
sauti yako na mwili wako burudiko langu mpenzi wangu.
halafu kumbe wewe ni mhindi....nilikuwa sijuagi mwenzio
Ah! mama umekuja huyu jamaa alikuwa hamjui mke wangu ndo katajiwa
Nzuri luv, mi mzima. Miss u sana
Mwenzangu mie mwenyewe nilijua ngozi nyeusi kumbe mtoto wa kuch kuch
Valentina acha mchepukooooooo
cc@uran. Tema mate tumchape.:love::love:
love love love u hata ukiniita potato
Kwa hiyo kila msichana wewe unamvulia nguo jamani khaaa!!!
tumchape tena my wife?