Valentina Mke wangu! Nimekumiss sana


nipromis kama utabaki njia kuu hata kama
ina foleni utavumilia!!

Basi nyie hamjashtuka! Mtu muongeaji sana siyo mtendaji, ogopa sana mkimya unaweza ukawa una share na rafiki yako bila kujua.
 
hahahaha mi nilikuwa nakuona kwa glasi kila nikimimina monde, problemaa ni kuwa nilipoteza simu kukufind kwa analogue ikawa shida kuliko tabu, kuja pandee hii tudecorate baby wetu ashakua kua.

aiseee umensusa wewe
babe wetu ndio kwanza ana
mwezi,nakua mama wa nyumbani kwa muda haaa
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…