Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
hahahahahaha naona uran wako kashadisapea kama potato vile
nipromis kama utabaki njia kuu hata kama
ina foleni utavumilia!!
Heee tena!!
usimsikilize, wewe ndiyo unanijua vizuri, nimechepuka lini kama siyo utani tu?
niko nitakuwepo na nitazidi kuweko..
ndio hivyo shosti!!Heee tena!!
Basi nyie hamjashtuka! Mtu muongeaji sana siyo mtendaji, ogopa sana mkimya unaweza ukawa una share na rafiki yako bila kujua.
​jishaue tu!!njia yenyewe sina nitachepukaje njia ya vumbi?
i love you baby
​jishaue tu!!
Hujambo?!.
Ivi mpaka saiv upo na nani?
heheheeee!!best acha kabisa
hebu niitie Jiwe Linaloishi aiseee
nimemuona kwny ndoto!!
hahahaha mi nilikuwa nakuona kwa glasi kila nikimimina monde, problemaa ni kuwa nilipoteza simu kukufind kwa analogue ikawa shida kuliko tabu, kuja pandee hii tudecorate baby wetu ashakua kua.