Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Dada yangu (khoh! Khooh! Khooh!) ungekuwa hujaolewa ningekuoa mwenyewe maana wadada wa Humu wanaringa sana.
mpenzi, nina zawadi yako
dah! unataka kuniharibia kwa mke wangu
nimekuja nae town
tuma tu m-pesa..
Haya nakutumia mkuu.
Wewe Mtoto hujambo? Nimesharudi Niko mujini, unanirudisha tena ktk chupa au?
Maaaaamaaaaaaaa weeeeee!still a lier,stil a lier,sugar dady lier,stil a lier!dunia ina. mamboooo!ni ww au nakufananisha!!!????
Maaaaamaaaaaaaa weeeeee!still a lier,stil a lier,sugar dady lier,stil a lier!dunia ina. mamboooo!ni ww au nakufananisha!!!????
Hi baby! Am NOT! Come this side tuongee vizuri sasa.