Valentine day: Maua au mashine? Embu akina dada tuelezeni

Valentine day: Maua au mashine? Embu akina dada tuelezeni

MIXOLOGIST

JF-Expert Member
Joined
Mar 1, 2016
Posts
14,311
Reaction score
36,056
Bila ya kupoteza muda, wakati tunakaribia kuazimisha ile sikuku yetu pendwa ya Valentine ni kitu gani haswa mngependa kukipata siku ya kesho kati ya hivyo tajwa hapo juu?
 
Mleta uzi nae eti ni binadamu tena akanunuliwa na smartphone, mbaya zaidi anaijua na JF..rubbish kabisa
Binti, hauna haja ya kusema hayo yote, najua maisha yanakugonga, chagua moja mashine au maua
 
unnamed (1).gif
 
Bila ya kupoteza muda, wakati tunakaribia kuazimisha ile sikuku yetu pendwa ya Valentine ni kitu gani haswa mngependa kukipata siku ya kesho kati ya hivyo tajwa hapo juu?
Wakina Dada wanapenda 1.Pesa
2.Dushe saizi ya kati ili lisiharibu papuchi zao!
3.Uaminifu na Uweze kutunza Siri!
Sio unapewa papuchi Kesho Ushamuanzishia Uzi Au umeshamuongelea kwenye magroup ya Whatsaap!
Mwanaume kifua Hata kama Ana Valentine wake kukupa wewe haimaanishi Hampendi Valentine wake basi tuu imetokea....
 
Back
Top Bottom