skyweezy96
Member
- Feb 13, 2017
- 10
- 2
Sawa tu,,,,,Wewe mtoto wa kiume siyo mwanaume
Basi mimi sio type hiyo,,,,, mimi ni mwanaume,,,,wala sitaki ujue zaidi maana utadata,,,Hawana lolote zaidi ya kujicream kama akina dada
Mmmhhh,,, kwani unanijua?Hahahaha, uwiiiiiii! Nidate kwako?
Kama vipi, wee potezea tu,,,,,maana nilikupa ushauri wa bure,,,take it or leave it,,,,Jiulize mwenyewe hilo swali