Valentine day ya upweke

Valentine day ya upweke

Wengine humu tunapitaga tu haste haste,,,, hatukamii lolote,,,,
 
Yan unataka tu
Kuona na,ww pm yako
Ikiflot
 
Huyu kalaaniwa, mume wako kaitwa na makonda ww tayari unatafuta mwingine. Mungu anakuona
 
Wandugu kama mjuavyo Leo ni siku maalum ya wanaopendanao.

Kwangu mm ni siku ya upweke kwa kuwa baba watoto aliitwa na makonda mpaka Leo hajarudi.

Nahitaji company kwa mwanaume yyte ambaye hana mpenzi Leo, na hii ni kwa Leo tu.

Karibu kwa aliye tayari

Wa kwangu kaniambia leo hatakuwa na mimi eti nijiongeze. Maua , Kadi kavitupia kwenye kapu la nguo chafu kachukua tu dola 100 niliyomuwekea kwenye kadi. haya mapenzi wandugu acha tu.
 
Sema ukweli wako tu kwamba unatafuta " One night stand"
 
Wandugu kama mjuavyo Leo ni siku maalum ya wanaopendanao.

Kwangu mm ni siku ya upweke kwa kuwa baba watoto aliitwa na makonda mpaka Leo hajarudi.

Nahitaji company kwa mwanaume yyte ambaye hana mpenzi Leo, na hii ni kwa Leo tu.

Karibu kwa aliye tayari
Karibu wapi mpenzi...ebu njoo pm tuondoleane upweke mwenyewe mpweke leo
 
Wa kwangu kaniambia leo hatakuwa na mimi eti nijiongeze. Maua , Kadi kavitupia kwenye kapu la nguo chafu kachukua tu dola 100 niliyomuwekea kwenye kadi. haya mapenzi wandugu acha tu.
Pole, ndiyo ubaya wa kujipekeza huo
 
Huyu kalaaniwa, mume wako kaitwa na makonda ww tayari unatafuta mwingine. Mungu anakuona
Mkuu nimebarikiwa kuliko wewe, kwani akiitwa na makonda ndo shughuli nyingine zisimame?
 
Umeshampata huyo wakukupa company ili mimi nijikalie pembeni, maana majanaume mengi ya humu yataanza questioning zisizo na sababu badala ya ku-pick the ball and run
 
Back
Top Bottom