Valentine gifts

IKiwa ni wiki ya kumbukizi ya siku ya wapendanao, hivyo naomba kwa ufupi zawadi ya kumpa mrembo wangu ( penzi jipya). Karibuni maoni na mapendekezo yako ni muhimu
nb: penzi jipya mambo yasiwe mengi😊
Jifungie mahali pasiri patulivu, funga na kumuombea Baraka na Neema za Mungu asikugeuke wala kukusaliti daima...
Na Mungu atakubariki sana....
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…