To yeye
JF-Expert Member
- Oct 4, 2022
- 35,686
- 86,968
Hawajui utani....afu ni Kama wanachukuaserious hizi conversation ee?Hahahahahaha...raia wanapanic basi endeleeni
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Hawajui utani....afu ni Kama wanachukuaserious hizi conversation ee?Hahahahahaha...raia wanapanic basi endeleeni
Mimi mtu akinipa gari nikiona dalili za kuachana nauza tukose wote 😂😂Ila mapenzi ya sikuhizi bhana....daah🤨
Hahahahahaha...usikute mtu yuko serious kweli...jamani nisiwabanie thawadiHawajui utani....afu ni Kama wanachukuaserious hizi conversation ee?
Gari unaeza kupewq ila kadi ya gari usipeweMimi mtu akinipa gari nikiona dalili za kuachana nauza tukose wote 😂😂
Watu tuko serious, tukikosa zawadi tunakutafuta🧐🤒😂😂Hahahahahaha...usikute mtu tuko serious kweli...jamani nisiwabanie thawadi
Gari bila kadi sitaki😂😂Gari unaeza kupewq ila kadi ya gari usipewe
🤣🤣🤣🤣kumbe upo seriously,basi pambana nao mkuuHahahahahaha...usikute mtu tuko serious kweli...jamani nisiwabanie thawadi
Hahahahaha mimi sio mbabaifu...ila jamaa yako hapo juu kapanic...acha atoe yeye..mie yangu utaipata tu usijariToa zawadi wewe acha ubabaifu
Hahahahahahaha...mimi mnitafute tena...yaani ukose thawadi huko kwa mtu wako uje kwangu ?Watu tuko serious, tukikosa zawadi tunakutafuta🧐🤒😂😂
Hahahahaha...umesoma vby..jamaa ndio yuko serious...mie nitakua serious mkikosa kwa watu wenu🤣🤣🤣🤣kumbe upo seriously,basi pambana nao mkuu
Hapo sawaHahahahaha...umesoma vby..jamaa ndio yuko serious...mie nitakua serious mkikosa kwa watu wenu
HahahahahaHapo sawa
Jifungie mahali pasiri patulivu, funga na kumuombea Baraka na Neema za Mungu asikugeuke wala kukusaliti daima...IKiwa ni wiki ya kumbukizi ya siku ya wapendanao, hivyo naomba kwa ufupi zawadi ya kumpa mrembo wangu ( penzi jipya). Karibuni maoni na mapendekezo yako ni muhimu
nb: penzi jipya mambo yasiwe mengi😊
Hahaha,, si umesema mwenyewe saizi unajikataa 😂😂😂🧐..Hahahahahahaha...mimi mnitafute tena...yaani ukose thawadi huko kwa mtu wako uje kwangu ?
Nimesema ukikosa kwa mtu wako wa karibu ...njoo nitakupa mimi....hii haina tatizo...hapo juu kuna boya limepanic nadhani yeye ndio yuko serious zaidiHahaha,, si umesema mwenyewe saizi unajikataa 😂😂😂🧐..
Anyways am kidding 🙌
🙏🏽🙏🏽🙏🏽Jifungie mahali pasiri patulivu, funga na kumuoembea Baraka na Beema za Mungu asikugeuke wala kukusaliti daima...
Na Mungu atakubariki sana....
Nakushauri we mpige pipe tu mkuu😊IKiwa ni wiki ya kumbukizi ya siku ya wapendanao, hivyo naomba kwa ufupi zawadi ya kumpa mrembo wangu ( penzi jipya). Karibuni maoni na mapendekezo yako ni muhimu
nb: penzi jipya mambo yasiwe mengi😊
Mbadilishie Simu..., Na chocolate usisahau