Valentine...Kazi ni kwako

Valentine...Kazi ni kwako

The Bold au yule mwenyewe kabsa ambae ni anonymous humu[emoji23] [emoji23] [emoji23]
the bold ni wa nifah wewe .. me wangu hayupo huku sababu nataka wa huku niwachune haha ha hata nikiwagonganisha sina cha kupoteza
 
sio picha zangu picha ya hvyo vitu ulivyoviweka hapo... Kwa Injury ya january ilvyo hii valentine ingekaa mwez wa nne hvi
Aaaaaaaaa Bonny acha hizo! kwani unasomesha???? Au ulimaliza pesa zote mpaka ukakopa ile desemba msimu wa sikukuu??
 
Aaaaaaaaa Bonny acha hizo! kwani unasomesha???? Au ulimaliza pesa zote mpaka ukakopa ile desemba msimu wa sikukuu??
ha ha ha ha tatzo hela ya january inaishiaa december halafu ubaya wake unapewa mapemaa tar 20 ukifika january umenyooka
 
255586.jpg
mkuu ni wewe huyu ? jibu fasta nije pm nimekuzimikia
Daby my shem, kuja kipande hiki kuna mkuu nasikia halali wala kuoga kwa siku 7 kwa ajili ya kuzimika.
 
wewe kizri kula na nduguyo alaaaaaaaaaa wacha kumchunga shem wako kiwango hiki si kila siku ale mchicha tu sometimes ale na bata if you know what i mean
hahahahhahahaha mie yangu chabo tu, ila pia nataka aje huku ajibu hizi maswali
Daby wapi wewe leo?
 
Back
Top Bottom