Valentine na Live Band πŸ”₯

Location
 
realMamy yeye Hana Raha maana kapigwa tukio mwezi uliopita kaachwa kisela hapo anaugulia maumivu , akikutana na wajuba wakamnyoosha hadi Leo hawasahau
 
Nashukuru sana mkuu
Afro ooh ......

Afro mama ooh......

Mtoto wa sagane.......

Salamu zangu ninakutumia popote ulipo zipokee........

Wasalimie ndugu, na wazazi wako mama eeh popote walipo Afro!

Mimi sijambo lakini mawazo tele moyoni.......

Nikikumbuka tulivyo achana mara ya mwisho uliniahidi Afro!

Tungeonana mapema bibiye 😍..


This song to Qashy Lilith
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…