Valentine sio siku ya wanawake ni siku ya wapendanao. Kama wewe dada hauwezi kumtafutia mpenzi wako zawadi ni aibu kutegemea kuletewa

Nyie zawadi zenu ni boxer na vest ukipendelewa sana ni perfume tena hspo hela ya kuvinunua inatoka kwenu wenyewe😂
Hata hapo iko poa sanaa. 😁😁
 
Wapo kwenye upande wa kupokea tu, yani wao wanapokea hawatoi. Hata uji wanaupokea tena atakuambia miminia ndani, ikatokea ukamimina nje atakupiga bao na utashangaa.

They're on the receiving end, naturally!
 
Too sad but its true
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…