Komeo Lachuma
JF-Expert Member
- Oct 31, 2014
- 7,926
- 17,030
Nyie wanawake mnaikumbuka hii siku sana.Kama demu wako kakkutumia happy valentine day basi huyo ni kongole anahitaji
Aya ikifikka jioni mpelekee hata chips mayai mixer milkshake.
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Nyie wanawake mnaikumbuka hii siku sana.Kama demu wako kakkutumia happy valentine day basi huyo ni kongole anahitaji
Aya ikifikka jioni mpelekee hata chips mayai mixer milkshake.
Jabali la Mapenzi katika ubora wake.ukiishi na ke jifanye mjinga tu
hata akisema akupe zawadi atakupa boxer tu na vest😅
Wanapendana sana na upendo ni siku zote hauna siku maalumu.Ebo! Waislam hawapendani ama mie aijaelewa?
Ata leo ni siku so tuonyeshe upendoWanapendana sana na upendo ni siku zote hauna siku maalumu.
anaweza kusema kipochi nacho ni zawadiukiishi na ke jifanye mjinga tu
hata akisema akupe zawadi atakupa boxer tu na vest😅
Na mara nyingi nadhani wao wanadhani wakitupa vipapa wametoa zawadi, nadhani hivyo....anaweza kusema kipochi nacho ni zawadi
Nyie wanawake mnaikumbuka hii sikuKama demu wako kakkutumia happy valentine day basi huyo ni kongole anahitaji
Aya ikifikka jioni mpelekee hata chips mayai mixer milkshake.
unauliza kichwa nywele au kichwa batani kwenye kijinga(mpini)hivonvitu natural mtu unakua navyo sasa nakuwaje sina titi? ni sawa nikuulize ww una kichwa?
HahahahaSaa hizi umekuja kulalamika huku wakati hata mlengwa mwenyewe hajui.
Ye yupo huko anasubiria msg yako.
HahahahaUsitufokee halafu unapotosha hazira😀Acha wenzako watoe