Valentine sio siku ya wanawake ni siku ya wapendanao. Kama wewe dada hauwezi kumtafutia mpenzi wako zawadi ni aibu kutegemea kuletewa

Valentine sio siku ya wanawake ni siku ya wapendanao. Kama wewe dada hauwezi kumtafutia mpenzi wako zawadi ni aibu kutegemea kuletewa

Ya nini sasa?
Sasa mwanamke mrembo kama wewe ata chocolate na sidiria chupi na gauni hupati hayo ni matumizi mabaga ya uzuri ulionao.
Njoo nikutoe out basi mrembo. I promise sitakuomba mbususu
 
Back
Top Bottom