hearly
JF-Expert Member
- Jun 19, 2014
- 45,678
- 63,304
indeedHuu ni upuuzi wa kiwango cha juu kabisa
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
indeedHuu ni upuuzi wa kiwango cha juu kabisa
Hahaaa. Umewaza mbali sana aiseeee.hahaaa for 1 night stand hapana aiseee
hapo napata ile midoli miwili ..nakuhonga kunakuwa ndio baba Jeni byeee byeeee
Hahaaaa. Wapo ila sio rahisi kuweza kukubali kuharibu kiasi kikubwa cha pesa kwa ajili ya Valentine tu.mkuu humu kuna kina mwigulu ..ridh1 nahuwa wanapitia kuzichabo hzi comment so wasemaje kuwa watu wenye mi Pesa kiasi hcho hawapo humu
mkuu. wanafnya hayo kama mtu anatikisa billion.40 bank ml.10 nihela ya mboga tu ..sema pia inategemea na mwanamke mwenyew atakuwa ktk uzuri wa namna IPI..Hahaaaa. Wapo ila sio rahisi kuweza kukubali kuharibu kiasi kikubwa cha pesa kwa ajili ya Valentine tu.
hahaa hata hiyo ml.11 na moja nikiitoa for 1 night stand sinitakufa kea pressure tu.Hahaaa. Umewaza mbali sana aiseeee.
Ila midoli ina karaha yake pia Mkuu.
Umeonaeee. Huwa wanazitoa ila wanaangalia ni wapi pa kuzitoa.mkuu. wanafnya hayo kama mtu anatikisa billion.40 bank ml.10 nihela ya mboga tu ..sema pia inategemea na mwanamke mwenyew atakuwa ktk uzuri wa namna IPI..
ninarafiki yangu mmoja Hivi wakike anaishi sisi yeye nimchepuko tu alipewaga ml.12 na fangs lake eti limemuagiza akamuwekee zile Pesa kwenye Ac yake ya bank ..demu alikuwaga hajawahi kushika Pesa ndefu kihvyo basi akawa anapagawa kinyama..sasa alikuwa na Mawazo ykukimbia Nazo nikamwambia huyo mwenzioa amekupa hzo pesa ukamuwekee sio lengo kuu nikukupima akili yko tu ..nikamwambia tuliza akili utakuja kupigwa bomba..
Hahaaa. Haya bana Mkuu ila hakuna nafuu wala afadhali hapo.hahaa hata hiyo ml.11 na moja nikiitoa for 1 night stand sinitakufa kea pressure tu.
so ninafuu ya kero za midoli kuliko hzo kero nitakazo zipata baada yakuimaliza hyat regence
yaani weee acha tu ..yangemkuta makuuUmeonaeee. Huwa wanazitoa ila wanaangalia ni wapi pa kuzitoa.
Ila huyo rafiki yako naye alitaka kujiroga kwa hela ya kupimwa. Hahaaaa. Ila bora ulimpa akili ya kumtoa tamaa alizokuwa nazo.
hahaaa haya bhanaa mimi naujua msimamo wako niupi kuhusu sis wapenda midoli ..maana nilionaga comment zako ulitushambulia mnoo.teehee tuvumiliane tu...Hahaaa. Haya bana Mkuu ila hakuna nafuu wala afadhali hapo.
Itakuwa bado mnanuka maziwa labda lakinhivi nyie mbona mnapenda wanaume above 35 years of age...!!kwa hiyo sie wenye 26+ tupambane na hali zetu!!
Hahahaaa. Nikajua dau unalo rafiki. [emoji85] [emoji85] .Nimefika rafiki ila acha niyaache kama yalivyo... hahah!!
Heheh!! Dau linawezakuepo ila aina ya matumizi ndio ikawa tatizo rafiki [emoji12] [emoji12]Hahahaaa. Nikajua dau unalo rafiki. [emoji85] [emoji85] .
Sababu nafasi adimu hizi kupatikana. Teh teh teh.
Hahaaa. Na kweli rafiki. Hongera kwa kuwaza mbali.Heheh!! Dau linawezakuepo ila aina ya matumizi ndio ikawa tatizo rafiki [emoji12] [emoji12]
Nashukuru kwa kuunga hoja mkono [emoji120] [emoji120] [emoji120]Hahaaa. Na kweli rafiki. Hongera kwa kuwaza mbali.
Yaani mzigo wote huo kuuteketeza kwa siku moja ni bora kuutafutia kitu cha kuufanyia na kama matumizi hayo ya siku moja yawe kwa hela kiasi na sio zote hizo.
Usijali rafiki. [emoji120] [emoji120]Nashukuru kwa kuunga hoja mkono [emoji120] [emoji120] [emoji120]
Town upo special kwa kuuza nyuchi yako au?Kwahiyo unafikiri mimi nikohapa town kuuza suraee?
Komaa mjini hapa utaliwa kiboga we endelea na wenge zako tu.
Nimegundua wewe ni kidumeNilishasema kama huna hela kaa kimya ila nashangaa wanywa viroba na ugoro wananichafulia uzi wangu!
Mods embu piga ban hao watu wasiopenda maendeleo ya watu.
hahahahahahaahahahHahahahaha NAHUJA naona hunitakii mema.. 11m naitolea wapi? Hapo najiweka pembeni!