Valentine special offer from Miss curious to real gentlemen.

Shoga huku ni kutaka kupandisha wanaume wa watu presha sio bure.

Sababu umeanza vyema ila hapo kwenye no 3 lazima walio wengi wanyong'onyee. 11.2 isiyo na kazi inatoka wapi saa hizi Shoga angu. Tena kwa matumizi ya siku moja. Mmh.
Njoo pm mi nalipa zote achana na Hawa wanaofurahisha genge.
 
Ungekuwa kwa bahati mbaya umemeza kipande cha Almas chenye thamani kama millioni 500 ningetoa hiyo pesa nikakuchinje. Milioni 200 nahongea kesi mpaka iishe mia 3 naanzia hapo.
khaaa[emoji15] [emoji15] [emoji23] [emoji23] [emoji23]
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…