Valentine's day inaniharibia bajeti

Valentine's day inaniharibia bajeti

EveJoe

Member
Joined
Dec 2, 2022
Posts
26
Reaction score
52
Hayawi hayawi sasa yamekuwa! Nimeshapatikana mieee na tarehe 14 ndo hiyoooo... sawa ndo nimefall lakini baada ya kuorder zawadi ya Mr...design kama vile ni gharama.... no regrets, nina tafakari tu. Hili wazo na nyie wenzangu hamlipatagi hapa na pale??
 
Uzuri siku hiyo kutakuwa na mechi nyingi za kunipotezea muda kwahiyo sitoweza kujua kuwa kuna valentine day, naweka tu jamvi langu hapo nakuwa naliwaza kama litalipa,,,, huo mda wa kumuwaza mtoto wa mama mkwe sina
 
Back
Top Bottom