Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Uzuri siku hiyo kutakuwa na mechi nyingi za kunipotezea muda kwahiyo sitoweza kujua kuwa kuna valentine day, naweka tu jamvi langu hapo nakuwa naliwaza kama litalipa,,,, huo mda wa kumuwaza mtoto wa mama mkwe sinaHayawi hayawi sasa yamekuwa! Nimeshapatikana mieee na tarehe 14 ndo hiyoooo... sawa ndo nimefall lakini baada ya kuorder zawadi ya Mr...design kama vile ni gharama.... no regrets, nina tafakari tu. Hili wazo na nyie wenzangu hamlipatagi hapa na pale??