Valentine's Day ya Februari 13 na Februari 14 ni tofauti

Valentine's Day ya Februari 13 na Februari 14 ni tofauti

The Boss

JF-Expert Member
Joined
Aug 18, 2009
Posts
49,282
Reaction score
117,244
Leo tarehe 13 mwezi February ni Valentine's day maalum kwa wale ambao kesho hawawezi kuwa pamoja; michepuko, wapenzi wa siri nk. Kesho ni kwa wale wapenzi rasmi.

Hasa kama kesho una mpenzi rasmi na hutaki huyu wa leo asione hukumjali, unamaliza na kuwa nae leo halafu kesho unakaa na mhusika anaefahamika na kila mtu.

Leo inaitwa Happy Mistress Day, Valentines kwa wale ambao siyo official.

Screenshot_2023-02-13-11-57-34-812_com.android.chrome.jpg
 
Pia inaweza ikawa kwa wapenzi watarajiwa...
 
Hivi kumbe kesho ndio valentine day na mimi nipo kudhani leo ni tarehe 9. Poor me.
 
Duu, kwahiyo kamchepuko kangu nikakabidhi zawadi leo. Kataelewa kweli. Maana naona kanataka kijiweka mbele mbele, kuliko mother house!
 
Hata habari ya kwamba kesho ni valentine's day sikuwa nayo!
Nyie kweli maisha yanatutenda!
 
Mm nikijua ni Jana coz nilipita mahala Fulani nikakuta mishe kibao nikajua labda ndio V day !! Daah huu mwaka umenivuruga mapema sana
 
Back
Top Bottom