Valentine's Day ya Februari 13 na Februari 14 ni tofauti

😂😂😂

So kwa kifupi ya leo ni kwa ajili ya..
1. Wapenzi wa siri
2. Micheps
3. Crush
4. Watarajiwa
Happy Vals in adv to y’all
Yaap
 
Ambao hatupo kwenye list ya leo wala hiyo kesho vipi Tuhamie Mars ama? au basi tutashiriki "Ash Wednesday"😀
 
Ambao hatupo kwenye list ya leo wala hiyo kesho vipi Tuhamie Mars ama? au basi tutashiriki "Ash Wednesday"[emoji3]
Umefikia conclusion haraka sana, huku jukwaani tupo ME ambao tuna hali kama yako, so we can match.

Hakuna haja ya kuhamia Mars, pale ulipo ndipo faraja yako ipo. Upo on Planet Earth, bilashaka faraja yako pia ipo hapahapa.

So usjali. PM Iko wazi, hata tusipobadilishana namba kwa sababu za kiusalama, tunaweza tukakutana PM na kuachana kulekule PM baada ya kufarijiana [emoji2].
 
Tunakutana Pm na kuachana huko kuko pm nzuri sana hii😂😂
 
Back
Top Bottom