Salary Slip
Platinum Member
- Apr 3, 2012
- 49,390
- 152,301
Wanaweza hata kuifunika awamu iliyopita!hawamu hii maigizo mengi mkuu
kabisa mkuuWanaweza hata kuifunika awamu iliyopita!
Unaelewa maana ya "conflict of interest"?Ukiangalia hivyo utakuwa hutendi haki maana hata magufuli alikuwa waziri kwenye Serikali ya JK iliyofanya madudu hayo
yale ya lumumbaMakambale yanahangaika kwenye matope
Mkurugenzi Mkuu wa Takukuru bwana, Valentino Mlowola aliwahi kuwa Chief of Police Inteligence na pia aliwahi kuwa RPC katika Jeshi hilo.
Swali:Mtu ambae aliwahi kutumika Jeshi hilo leo hii ataweza kweli kusimamia uchunguzi dhidi ya Taasisi yake hiyo ya awali?Je,bwana huyu hana marafiki huko?
Anyway,wacha tu siku ziende!