Valentino Mlowola wa TAKUKURU aliwahi kuwa Boss Polisi, Atatendea haki faili la LUGUMI?

Kuna kitu nimekisikia Nikabaki nacheka .
Swala La BRELA kusema hawana Taaarifa Kamili Juu ya Kampuni ya Lugumi name hivyo waulizwe TAKUKURU ..

Nikajiuliza BRELA kazi yao ni nn ..kama hawajua Shareholders wa Lugumi ? na wao ndio wenye Mamlaka hayo ya kusajili name kutuza kumbukumbu za Kampuni .

Hilo ni Jipu tu lingine liloiva .
 
Nimeamini Usalama wa Taifa la Tanzania ni mbovu sana
 
20160415_045809.jpg

Mkurugenzi Mkuu wa Takukuru bwana, Valentino Mlowola aliwahi kuwa Chief of Police Inteligence na pia aliwahi kuwa RPC katika Jeshi hilo.

Swali:Mtu ambae aliwahi kutumika Jeshi hilo leo hii ataweza kweli kusimamia uchunguzi dhidi ya Taasisi yake hiyo ya awali?Je,bwana huyu hana marafiki huko?

Anyway,wacha tu siku ziende!
Dili Kama hili kubwa lisingempita mbali. Huenda naye kavuta kidogo
 
Lugumi Alikuwa Na Tender Police Tu Ama Majeshi Yote
Maana Kuna Mtu Anasema Alokuwa Na Tender
Polisi
Magereza
Uhamiaji
Zimamoto
JW
WenyeUfafanuzi Tafadhali
Rain it solutions EA itafute kwa mtandao.ina import vifaa vya ki elecronic kama vile mshine za finger print nk kwa ajili ya majeshi yetu.

RAN IT solutions,Lugumi enterprises,KZ security,na Lugumi general supp.ni kampuni za Said Lugumi zinazopiga hela ndani na nje ya nchi.

Over and Out
 
20160415_045809.jpg

Mkurugenzi Mkuu wa Takukuru bwana, Valentino Mlowola aliwahi kuwa Chief of Police Inteligence na pia aliwahi kuwa RPC katika Jeshi hilo.

Swali:Mtu ambae aliwahi kutumika Jeshi hilo leo hii ataweza kweli kusimamia uchunguzi dhidi ya Taasisi yake hiyo ya awali?Je,bwana huyu hana marafiki huko?

Anyway,wacha tu siku ziende!

umekosoa TAKUKURU kwa sababu ya DG wao sasa labda tujiulize hiyo kashfa imeubuliwa na kamati y PAC kwani hakuna ccm mle? coz ndio walio jaa ukiwa na dhana hasi juu ya mashauri unakuwa unatimiza kujiuliza.

sasa wewe unashauri na alishughulikie hilo swala.

. polisi hao hao
. au takukuru (hawa umewakataa)

na hivyo ndivyo vyomba halali vya uchunguzi..

THINK BIG AND BE POSITIVE NA SIO KUWA NA CLOSED MIND.
 
Rain it solutions EA itafute kwa mtandao.ina import vifaa vya ki elecronic kama vile mshine za finger print nk kwa ajili ya majeshi yetu.

RAN IT solutions,Lugumi enterprises,KZ security,na Lugumi general supp.ni kampuni za Said Lugumi zinazopiga hela ndani na nje ya nchi.

Over and Out
Swala siyo tenda halali swala baba kumpa tenda mtoto je hakuna mgongano wa maslahi?Lakini kwa TZ haina shida tumeona hukumu ya jana.Hivyo ile pesa yetu iliyopewa idara ya mahakama itakuwa imepotea Magufuli asitarajie matokeo chanya.Aondoe masalia yote ambayo yanaongoza idara ya mahakama kwani ndiyo ilikuwa inalinda mfumo uliopita wataendelea kuwalinda sasa.Warudishe pesa yetu ikanunue madawati.
 
20160415_045809.jpg

Mkurugenzi Mkuu wa Takukuru bwana, Valentino Mlowola aliwahi kuwa Chief of Police Inteligence na pia aliwahi kuwa RPC katika Jeshi hilo.

Swali:Mtu ambae aliwahi kutumika Jeshi hilo leo hii ataweza kweli kusimamia uchunguzi dhidi ya Taasisi yake hiyo ya awali?Je,bwana huyu hana marafiki huko?

Anyway,wacha tu siku ziende!
Wewe unashauri taasisi gani ishughulikie kesi ya rushwa?
 
Swala siyo tenda halali swala baba kumpa tenda mtoto je hakuna mgongano wa maslahi?Lakini kwa TZ haina shida tumeona hukumu ya jana.Hivyo ile pesa yetu iliyopewa idara ya mahakama itakuwa imepotea Magufuli asitarajie matokeo chanya.Aondoe masalia yote ambayo yanaongoza idara ya mahakama kwani ndiyo ilikuwa inalinda mfumo uliopita wataendelea kuwalinda sasa.Warudishe pesa yetu ikanunue madawati.
Mgongano wa maslahi haupo... Case study hukumu ya Kesi ya Mhando na mkewe Jana.
 
naamini hawezi kuharibu kwan ni muqdilifu. lakini pia ukwel wa tuhuma unafahamika na taratibu zinajulikana.
 
Mkurugenzi Mkuu wa Takukuru bwana, Valentino Mlowola aliwahi kuwa Chief of Police Inteligence na pia aliwahi kuwa RPC katika Jeshi hilo.

Swali:Mtu ambae aliwahi kutumika Jeshi hilo leo hii ataweza kweli kusimamia uchunguzi dhidi ya Taasisi yake hiyo ya awali?Je,bwana huyu hana marafiki huko?

Anyway,wacha tu siku ziende!

Unachosema kiongozi ni kwamba mapolisi wote Tanzania wanakubaliana na rushwa, ufisadi na hata mkasa wa Lugumi unapendwa na kila polisi? Inaingia akilini kweli?
 
20160415_045809.jpg

Mkurugenzi Mkuu wa Takukuru bwana, Valentino Mlowola aliwahi kuwa Chief of Police Inteligence na pia aliwahi kuwa RPC katika Jeshi hilo.

Swali:Mtu ambae aliwahi kutumika Jeshi hilo leo hii ataweza kweli kusimamia uchunguzi dhidi ya Taasisi yake hiyo ya awali?Je,bwana huyu hana marafiki huko?

Anyway,wacha tu siku ziende!
Hiki ndicho kitakuwa Kipimo juu ya Uadilifu wake.
 
Huenda Yale ya January na Mwakyembe ya kulindana yakafanyika huku pia .
issue ya wafanyakazi hewa fasta kimeundwa kikosi kazi kuchunguza hazijapita siku nyingi tunasikia RC wa shinyanga kapigwa chini lakini hii issue kubwa namna hii jamaa kapiga kimya kama haimuhusu vile daah inatia hasira sana aisee.
 
Back
Top Bottom