Nelson Kileo
JF-Expert Member
- Oct 29, 2011
- 3,053
- 3,259
Kuna kitu nimekisikia Nikabaki nacheka .
Swala La BRELA kusema hawana Taaarifa Kamili Juu ya Kampuni ya Lugumi name hivyo waulizwe TAKUKURU ..
Nikajiuliza BRELA kazi yao ni nn ..kama hawajua Shareholders wa Lugumi ? na wao ndio wenye Mamlaka hayo ya kusajili name kutuza kumbukumbu za Kampuni .
Hilo ni Jipu tu lingine liloiva .
Dili Kama hili kubwa lisingempita mbali. Huenda naye kavuta kidogo
Mkurugenzi Mkuu wa Takukuru bwana, Valentino Mlowola aliwahi kuwa Chief of Police Inteligence na pia aliwahi kuwa RPC katika Jeshi hilo.
Swali:Mtu ambae aliwahi kutumika Jeshi hilo leo hii ataweza kweli kusimamia uchunguzi dhidi ya Taasisi yake hiyo ya awali?Je,bwana huyu hana marafiki huko?
Anyway,wacha tu siku ziende!
Rain it solutions EA itafute kwa mtandao.ina import vifaa vya ki elecronic kama vile mshine za finger print nk kwa ajili ya majeshi yetu.Lugumi Alikuwa Na Tender Police Tu Ama Majeshi Yote
Maana Kuna Mtu Anasema Alokuwa Na Tender
Polisi
Magereza
Uhamiaji
Zimamoto
JW
WenyeUfafanuzi Tafadhali
Mkurugenzi Mkuu wa Takukuru bwana, Valentino Mlowola aliwahi kuwa Chief of Police Inteligence na pia aliwahi kuwa RPC katika Jeshi hilo.
Swali:Mtu ambae aliwahi kutumika Jeshi hilo leo hii ataweza kweli kusimamia uchunguzi dhidi ya Taasisi yake hiyo ya awali?Je,bwana huyu hana marafiki huko?
Anyway,wacha tu siku ziende!
Swala siyo tenda halali swala baba kumpa tenda mtoto je hakuna mgongano wa maslahi?Lakini kwa TZ haina shida tumeona hukumu ya jana.Hivyo ile pesa yetu iliyopewa idara ya mahakama itakuwa imepotea Magufuli asitarajie matokeo chanya.Aondoe masalia yote ambayo yanaongoza idara ya mahakama kwani ndiyo ilikuwa inalinda mfumo uliopita wataendelea kuwalinda sasa.Warudishe pesa yetu ikanunue madawati.Rain it solutions EA itafute kwa mtandao.ina import vifaa vya ki elecronic kama vile mshine za finger print nk kwa ajili ya majeshi yetu.
RAN IT solutions,Lugumi enterprises,KZ security,na Lugumi general supp.ni kampuni za Said Lugumi zinazopiga hela ndani na nje ya nchi.
Over and Out
Wewe unashauri taasisi gani ishughulikie kesi ya rushwa?
Mkurugenzi Mkuu wa Takukuru bwana, Valentino Mlowola aliwahi kuwa Chief of Police Inteligence na pia aliwahi kuwa RPC katika Jeshi hilo.
Swali:Mtu ambae aliwahi kutumika Jeshi hilo leo hii ataweza kweli kusimamia uchunguzi dhidi ya Taasisi yake hiyo ya awali?Je,bwana huyu hana marafiki huko?
Anyway,wacha tu siku ziende!
Mgongano wa maslahi haupo... Case study hukumu ya Kesi ya Mhando na mkewe Jana.Swala siyo tenda halali swala baba kumpa tenda mtoto je hakuna mgongano wa maslahi?Lakini kwa TZ haina shida tumeona hukumu ya jana.Hivyo ile pesa yetu iliyopewa idara ya mahakama itakuwa imepotea Magufuli asitarajie matokeo chanya.Aondoe masalia yote ambayo yanaongoza idara ya mahakama kwani ndiyo ilikuwa inalinda mfumo uliopita wataendelea kuwalinda sasa.Warudishe pesa yetu ikanunue madawati.
hivyo vipimo viwe vingapi mkuu limepita la Zanzibar plus kashfa za wale mawaziri wake itakua hili? hamna kitu hapo.Suala la lugumi ndicho kipimo kikuu cha rais kwa wanyonge!
kuna kila dalili .Wanaweza hata kuifunika awamu iliyopita!
Kweli mkuu, sana sana aliulizwa hapo atasema suala hilo iachiwe mahakama yeye halimuhusuhivyo vipimo viwe vingapi mkuu limepita la Zanzibar plus kashfa za wale mawaziri wake itakua hili? hamna kitu hapo.
Mkurugenzi Mkuu wa Takukuru bwana, Valentino Mlowola aliwahi kuwa Chief of Police Inteligence na pia aliwahi kuwa RPC katika Jeshi hilo.
Swali:Mtu ambae aliwahi kutumika Jeshi hilo leo hii ataweza kweli kusimamia uchunguzi dhidi ya Taasisi yake hiyo ya awali?Je,bwana huyu hana marafiki huko?
Anyway,wacha tu siku ziende!
Hiki ndicho kitakuwa Kipimo juu ya Uadilifu wake.
Mkurugenzi Mkuu wa Takukuru bwana, Valentino Mlowola aliwahi kuwa Chief of Police Inteligence na pia aliwahi kuwa RPC katika Jeshi hilo.
Swali:Mtu ambae aliwahi kutumika Jeshi hilo leo hii ataweza kweli kusimamia uchunguzi dhidi ya Taasisi yake hiyo ya awali?Je,bwana huyu hana marafiki huko?
Anyway,wacha tu siku ziende!
hivyo vipimo viwe vingapi mkuu limepita la Zanzibar plus kashfa za wale mawaziri wake itakua hili? hamna kitu hapo.
yaani ni pure double standards hakuna jipya si unacheki alivyopiga kimya tangu hii issue ilivyoibuliwa na PAC ? hamna kitu hapo.Kweli mkuu, sana sana aliulizwa hapo atasema suala hilo iachiwe mahakama yeye halimuhusu
issue ya wafanyakazi hewa fasta kimeundwa kikosi kazi kuchunguza hazijapita siku nyingi tunasikia RC wa shinyanga kapigwa chini lakini hii issue kubwa namna hii jamaa kapiga kimya kama haimuhusu vile daah inatia hasira sana aisee.Huenda Yale ya January na Mwakyembe ya kulindana yakafanyika huku pia .