Una hangaika sana...
Mkurugenzi Mkuu wa Takukuru bwana, Valentino Mlowola aliwahi kuwa Chief of Police Inteligence na pia aliwahi kuwa RPC katika Jeshi hilo.
Swali:Mtu ambae aliwahi kutumika Jeshi hilo leo hii ataweza kweli kusimamia uchunguzi dhidi ya Taasisi yake hiyo ya awali?Je,bwana huyu hana marafiki huko?
Anyway,wacha tu siku ziende!
Mchawi mpe mwanao akulelee
Makumbele NIMEVUMILIA mengi....sijakutendea kosa........Makambale yanahangaika kwenye matope
HAKUNA KITU HAPO NI ULAGHAI TU! WANATAKA KUBADILI UPEPO HAO. BUNGE LIKOMAE TU!
Mkurugenzi Mkuu wa Takukuru bwana, Valentino Mlowola aliwahi kuwa Chief of Police Inteligence na pia aliwahi kuwa RPC katika Jeshi hilo.
Swali:Mtu ambae aliwahi kutumika Jeshi hilo leo hii ataweza kweli kusimamia uchunguzi dhidi ya Taasisi yake hiyo ya awali?Je,bwana huyu hana marafiki huko?
Anyway,wacha tu siku ziende!
HahahaaaaaaaaaMchawi huenda asimloge, Ila Mfiraji Usimpe atamrarua Linda!
Said mwema amepewa kazi ya kumtuliza na Lugumi yy anadili wengine Huku kitwanga akiwapiga pesa kamati ya Bunge , wamejipanga kuhakikisha kuwa hawashindwi kabsa.Mwalimu jk...aliwahi kuulizwa kuhusu police akasema hao watafukuzana wenyewe....
Suala LA mlowa tena movie itakuwa tamu sana
Sasa ni Lugumi 3 na JPM 0 Lugumi yupo juu ya sheria hakamatiki .Lugumi Vs JPM
Kweli kabisa Lugumi hakamatiki Manaa walishajipanga na kuweka mazingira ya kuwa untouchable.... in case....!! Wanajua walichokuwa wanafanya!Sasa ni Lugumi 3 na JPM 0 Lugumi yupo juu ya sheria hakamatiki .