Tarime one
JF-Expert Member
- Nov 12, 2013
- 2,246
- 1,733
Nimejikuta natumia moja kila siku na huwa nasikia aina ya utulivu kichwani.Inategemea na mwili wako kiasi kwako inaweza ikawa kupita kiasi kwa mwenzako, ila vyovyote vile unaweza ukawa addict ama ukawa immune kwa hivyo vidonge
Nimeipenda hiyo! Inamaanisha unastress kibao na tensions kazi kubwa ya hiyo dawa ni kuleta calming effect!Nimejikuta natumia moja kila siku na huwa nasikia aina ya utulivu kichwani.
Sent using Jamii Forums mobile app
Ndio kazi yake kubwa,ulitumia kwa ajili ya ugonjwa au ulitaka tu kutumia kama burudani?ushauri wangu ni kuwa ukisha pona achana nazo kwani hiyo hali ya kujisikia vizuri ndio inayowafanya wengi kushindwa kuiacha.Nimejikuta natumia moja kila siku na huwa nasikia aina ya utulivu kichwani.
Sent using Jamii Forums mobile app