Valium ina madhara gani kwa binadamu?

Valium ina madhara gani kwa binadamu?

Inategemea na mwili wako kiasi kwako inaweza ikawa kupita kiasi kwa mwenzako, ila vyovyote vile unaweza ukawa addict ama ukawa immune kwa hivyo vidonge
 
Hiyo ni dawa yakulevya, ukiigonga in high dose unaweza kuwa katika comma, au kusimamisha moyo, eventually death.
 
Nimejikuta natumia moja kila siku na huwa nasikia aina ya utulivu kichwani.

Sent using Jamii Forums mobile app
Ndio kazi yake kubwa,ulitumia kwa ajili ya ugonjwa au ulitaka tu kutumia kama burudani?ushauri wangu ni kuwa ukisha pona achana nazo kwani hiyo hali ya kujisikia vizuri ndio inayowafanya wengi kushindwa kuiacha.
 
Back
Top Bottom