Valuation Calculator for Used Motor vehicles and CRSP List - TRA WANAKISIA BEI ZA MAGARI?

Gariexpress. Hizo bei zenu ni pamoja na ushuru na namba za usajiri. Hakuna gharama ya ziada ambayo mtaje ataingia baada ya kulipia hicho kiasi?

Bei zetu zinajumuisha kila kitu mkuu ( usajili, plate number, vehicle licence). Kasoro insurance ambayo ni chaguo lako baada ya kununua gari. Karibu sana

Thanks
Gariexpress.com
Support
 

Salaam Mkuu
Nimejaribu kudowanload hyo calculator bila mafanikio, naomba nisaidie kwa Toyota Belta ya 2006. Cc 1290, CIF 3400 Kodi yake itakuwa kiasi gani? please Mkuu msaada wako
 

Nifafanulie kitu hapa hii CIF ya TRA napaswa ilipa pia?! Naelewa cif ni bei ya gari na usafiri nk bila kodi za TRA,

Yaonekana kama nanunua gari moja mara mbili likiwa huko Japan na likiingia hapa Tz.
Ufafanuzi hapo cheif!

NB: see attachment
 

Attachments

  • 1434333534337.jpg
    57 KB · Views: 147

Hapo mwisho ndipo sijakupsta vyema unasema bei ya chini kabisa! Wamaanisha bei ya gari hiyo ikiwa mpya au kwa used wake ndio wanachukua bei ya chini!? Maana huyo aliuliza anasema cif ni 3000 sasa 3700 ndio bei ya chini?! Wakati gari pekeyake ni 2000!??
 

Hapo katika website umedanganya umma hiyo sio website bali ni blog bro!
 
Wanajamvi naombeni msaada kuhusu hii calcukator ya tra .Mbona unapofeed figure sioni mahali pi demand kuingiza bei ya gari uliyonunulia.
Pia mbona naona kodi ya gari la zamani mfano 1997 inakuwa ndogo sana kuliko kodi ya gari la 2005.
Nimejaribu kupiga kwa suzuki carry truck ya 1997 kodi inaleta milion tatu na nusu wakati nikibadilisha mwaka nikiweka 2005 kodi inaleta milion nane na.
Kwa mwenye ujuzi anifahamishe zaidi.
 

Duh, kaka sijaingia humu muda mrefu. Hata hivyo nitajaribu kujibu ingawa muda umepita sana.

Hiyo "bei ya chini" ndio thamani ya sasa(kipindi hicho) aka CIF ya gari kwa mujibu/mahesabu ya TRA, kama ulinunua na kusafirisha kwa bei ya chini ya hapo, basi wanaipandisha mpaka kufikia kiasi hicho.

NB. Hizi ni hesabu za kitambo kidogo. TRA wameweka calculator kwenye tovuti yao.

http://www.tra.go.tz/index.php/calculators-tools

Fuatilia hapo uone. Pamoja na hayo, bado nasisitiza kuwa bei za magari yakiwa mapya zinatotumiwa na TRA ni za kuchakachua au kwa msema wa sasa "za kukata".
 
Shukrani so nimeelewa hiyo ni default gharama ya TRA sharti ilipwe!, Pole na majukumu huenda ishu za kutangazaNia na TeamUchaguzi zilikubana!

 

Hivi Chevy Cruze ni gari so popular Tanzania hadi TRA waifanyie kazi ya kutathmini import tax? Be realistic kaka, dunia hii kuna maelfu ya models za magari, haiwezekani TRA wakawa na kikokotozi kinachojumuisha magari yote duniani, achilia mbali models zote za Chevrolet, Ford, GM, Toyota, Nissan, etc.
 

You are simply stupid.
 
Me too! eti wameweka price list & calculator kwenye web yao lakini gari inapofika bado wanaanza kufanya evaluation ya kivyao vyao then you end up paying more, uplifted prices...why fcn bisss?
TRA ni genge la wezi linalofadhiliwa na watawala. Hesabu zao hazina mantiki yoyote. Si serikali wala wenyewe wanaoweza toa ufafanuzi wa gharama hizo za kutungwa, dawa ni kuing'oa na kuitupa jalalani serikali nzima ya CCM ifikapo Okt. 25 ili tuanze upya. Kodi za namna hii zinamhamasisha mlipaji kukwepa au kutoa rushwa ambayo ndiyo sera rasmi ya chama tawala CCM. Down with CCM!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…