Valuation Calculator for Used Motor vehicles and CRSP List - TRA WANAKISIA BEI ZA MAGARI?

[/COLOR said:
CLACET] Kabla sijaendelea niseme kwa dhati TRA hawakisii bali naamini
[/COLOR said:
ni research ambazo wanafanya na kwa taarifa tu kuna idara ya
research iliyo na wanataaluma wa kufa mtu kazi zao ni nyingi
ikiwepo hii ya kuestablish best estimates za bei

Umetuambia tufananishe a bei ya Toyota RAV4 GX 5D Wagon 2013 - $23,300.
Lakini hujasema hiyo $ 23,300 ni FOB, CIF or retail price ikiwa TZ
Kufananisha lazima tufananishe vitu vilivyo ktk mazingira sawa.
Kwa kuwa site uliyoweka ni ya Toyota, then hiyo bei ni ya gari mpya
ikiwa japan, na haijalipiwa freight, insurance na kodi. Bei za TRA ni Retail Prices
yaani zimejumuisha kodi zote pamoja na faida kuanzia mtengenezaji hadi retail seller.
Pia tambua bei za mitandaoni saa nyingine ni promotion tu kuvutia watu waweze kujua
na mambo mengine, so ukitaka kujua bei halisi ya Toyota model hiyo kwa nn
usiende hapo toyota tz ukapata quatation? very ease way to clear your doubt zote.

Bei kuwa sawa toka 2000 ->2003 ???
Hapa tambua madhumuni ya kodi sio tu kukusanya mapato bali ina malengo
mengine ya kuadjust consuption za watu na for public interest at large.
Pia assumption ni kuwa consumers are rational ktk consumption.
Ukiambiwa utalipa kodi sawa kati ya 2000 model na 2003 model, ww utanunua ipi?
Kati ya model hizo 2 ipi unategemea kukupa more satsfaction.

The idea behind ni ku discourage kununua magari mabove ili kulinda walaji
na mazingira pia

Kuwa na Model Zote
Kwa TRA kuweza kuwa na Model zote ni ideal situation, and won't be possible
or impacticable. Hilizopo ni gari ambazo zinanuliwa kwa sana TZ na in case kuna
ambayo haipo then hiyo ni exception na exception haikosi soln, kama ilivyo kwenye
mahakama wanapotumia maamuzi yakimahakama yaliyofanywa na watoa maamuzi hapo
kabla au yaliyotolewa maamuzi nchi nyingine zenye
mifumo sanwa nasi (precedent) ktk kuamua swala ambalo linakuwa gumu au linakosa kifungu
sahihi kulitolea ufafanuzi.

Cheers,

Twende taratibu mkuu hapo kwenye nyekundu, kwa hiyo TRA wanaestablish bei za magari katika mchakato wa kukokotoa kodi wanatumia retail price, kwa maana bei ya gari pamoja na kodi (KODI IPI) wakati kodi ndiyo wanakokotoa?

Hivi wa TRA wanafananishaje uchumi wa sisi watanzania na wajerumani au nchi zilizoendelea? Kuweka hizi formular ni kama wanatukomoa, yaani used vehicle unailipia usafirisahji, ushuru, kodi na mpaka faida ya middle men hata kama hayupo! Kodi zenyewe eti toka ikiwa mpya, kisha wanazuruzunga kwa tena unailipia kodi ikifika nchini, huku si ni kukomoana!

Hizi bei za kifisadi kwenye chart ya TRA mimi sikubaliani nazo, inakuwaje MSRP (Manufacturer's Suggested Retail Price) inakuwa ndogo mara dufu zaidi ya TRA RSP (Retail Suggested Price)? Mfano:-

- Prius ya 2014 Brand New MSRP ni US$ 24,500-27,000 wao TRA RSP ni US$ 53, 890
- BMW X3 ya 2013 Brand New MSRP ni US$ 48,500 wao TRA RSP ni US$ 116,567
- Corolla ya 2014 Brand New MSRP ni US$ 16,900 wao TRA RSP ni US$ 37,187 - 41,319
- RAV4 EV ya 2014 Brand New MSRP ni US$ 49,800 wao TRA ni US$ 77,945

Kwa mwendo huu wa kulinganishwa na uchumi wa wazungu, NI WIZI MTUPU. Kama ndiyo hivyo tunataka shule na hospitali zitoe huduma sawa na Ujerumani au uingereza.
 
Naunga mkono hoja mkuu vitu ambavyo wananchi wanafaidika navyo hawavioni ila kwa kuwaibia wananchi hawajambo
 
Hivi wa TRA wanafananishaje uchumi wa sisi watanzania na wajerumani au nchi zilizoendelea? Kuweka hizi formular ni kama wanatukomoa, yaani used vehicle unailipia usafirisahji, ushuru, kodi na mpaka faida ya middle men hata kama hayupo! Kodi zenyewe eti toka ikiwa mpya, kisha wanazuruzunga kwa tena unailipia kodi ikifika nchini, huku si ni kukomoana!

Hizi bei za kifisadi kwenye chart ya TRA mimi sikubaliani nazo, inakuwaje MSRP (Manufacturer's Suggested Retail Price) inakuwa ndogo mara dufu zaidi ya TRA RSP (Retail Suggested Price)? Mfano:-

- Prius ya 2014 Brand New MSRP ni US$ 24,500-27,000 wao TRA RSP ni US$ 53, 890
- BMW X3 ya 2013 Brand New MSRP ni US$ 48,500 wao TRA RSP ni US$ 116,567
- Corolla ya 2014 Brand New MSRP ni US$ 16,900 wao TRA RSP ni US$ 37,187 - 41,319
- RAV4 EV ya 2014 Brand New MSRP ni US$ 49,800 wao TRA ni US$ 77,945

Kwa mwendo huu wa kulinganishwa na uchumi wa wazungu, NI WIZI MTUPU. Kama ndiyo hivyo tunataka shule na hospitali zitoe huduma sawa na Ujerumani au uingereza.

Duh aisee mbona wanaweka makadirio ya juu sana halafu huduma za jamii mbovu mpaka basi...mabarabara yamechakaa,zahanati zinasikitisha hiyo kodi kubwa wanayotoza na maendeleo ya huduma za jamii haziendani kabisa.
 
Ingekuwa kodi ukilipa inafanya kazi stahiki ningelipa lakini haifanyi kazi stahiki bali ni mafisadi tuu kuimaliza....wanafunguliwa kesi huoni kesi ikifika mwisho....
Barabara, hospitals zinajengwa kwa misaada hadi mabango tunawekewa ya misaada kama sisi omba omba

Tumechoshwaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaa

Tatizo la watanzania hawapendi kulipa kodi!lipeni kodi jamani tujenge taifa
 
hatulipi kodi maana hatuoni hizo kodi zinafanyiwa ninni tunaliwa tu usiku na mchana

Ingekuwa kodi ukilipa inafanya kazi stahiki ningelipa lakini haifanyi kazi stahiki bali ni mafisadi tuu kuimaliza....wanafunguliwa kesi huoni kesi ikifika mwisho....
Barabara, hospitals zinajengwa kwa misaada hadi mabango tunawekewa ya misaada kama sisi omba omba

Tumechoshwaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaa
 
Nisani nivara, toka Uk ya mwaka 2007 je nitalipia kiasi gani Endapo nitaitoa kwa exemption ? Na kiasi gani nitalipa Endapo nitaitoa bila exemption? Cost ya hiyo gari Ni paundi za Uingereza 5500. Nasubiri mkuu kwa msaada wa utalamu wako!
 
Kama unataka kuagiza gari na kupata makadirio ya kodi TRA nitakusaidia hapa hapa bureeee

mim nataka kuagiza Nissan Note ya mwaka 2005, na CIF mpaka dar ni USD 2400. so nilitaka unisaidie mujua ni ushuru kiasi gani nitatakiwa kulipa.
 
Landrover discovery 3/4 ya 2007, pound 5000 CIF, ushuru ni sh ngapi?
 
vogue sport ya 2014 nataka niagize usguru bei gani?
 
Nisani nivara, toka Uk ya mwaka 2007 je nitalipia kiasi gani Endapo nitaitoa kwa exemption ? Na kiasi gani nitalipa Endapo nitaitoa bila exemption? Cost ya hiyo gari Ni paundi za Uingereza 5500. Nasubiri mkuu kwa msaada wa utalamu wako!

mim nataka kuagiza Nissan Note ya mwaka 2005, na CIF mpaka dar ni USD 2400. so nilitaka unisaidie mujua ni ushuru kiasi gani nitatakiwa kulipa.

Landrover discovery 3/4 ya 2007, pound 5000 CIF, ushuru ni sh ngapi?

vogue sport ya 2014 nataka niagize usguru bei gani?
bushlawyer kawaacha kwenye Vichwa vya habari!
Teh teh teh teh!

Mjini pabaya sana aisee.

Yaani huyu msela Angeomba kamchango kidogo tu watu mngeingia Mazima!
 
Last edited by a moderator:

Kama unamfahamu huyo jamaa alivyo, hapo sawa otherwise hayo ni maoni yako tu ndugu. Sio kila mtu ni mhuni na mwongo, wengine ni PUGU (pata ujuzi gawia umma)
 
Mbona hajajibu hata post moja?
Sio lzm umjue mtu ndio ufahamu tabia yake.
They say action talks louder than words.
Kukaa kwake kimya ni dalili ya hatari.
 
Nisani nivara, toka Uk ya mwaka 2007 je nitalipia kiasi gani Endapo nitaitoa kwa exemption ? Na kiasi gani nitalipa Endapo nitaitoa bila exemption? Cost ya hiyo gari Ni paundi za Uingereza 5500. Nasubiri mkuu kwa msaada wa utalamu wako!

Mkuu ungeniambia je ni single cabin au double cabin?
 
mim nataka kuagiza Nissan Note ya mwaka 2005, na CIF mpaka dar ni USD 2400. so nilitaka unisaidie mujua ni ushuru kiasi gani nitatakiwa kulipa.

Mkuu niambie cc ngapi hiyo gari yako nikutajie makadirio ya ushuru mkuu
 
Mkuu selemala, huu uzi ni wa muhimu mno, kama unaweza tafadhali badili title ya hii thread iwe kama kwenye red kisha tuwaombe mods waiweke sticky, TRA wamo wengi humu, najua hawatajibu officially lakini ujumbe utakuwa umefika!

Nilishawahi kusema humu kuwa kodi nyingi Tanzania ni kubwa kila sekta. Lakini hii inawabana watu wa kipato cha kawaida ambao ndo majority. Kodi za magari ndo majanga kabisa. Zamani tuliamini cost iwe angalau 80-95% ya CIF cost. Yaani ni ajabu sana. Huwez kujisifia kukusanya kodi kwa ukandamizaji huu. Gari la CIF $3000, ikipigwa hesabu na TRA inafika $3700 yaani 120%! Hata kama ni sifa tusiumizane kiasi hicho. Kuna ile Calculator ambayo iko safi kabisa na ukiifuatilia unapata jibu zuri. Ukiipeleka wanakuambia CIF hiyo ni pungufu kwa thamani halisi. Yaani ni majanga!
 
Last edited by a moderator:

Hivi wa TRA wanafananishaje uchumi wa sisi watanzania na wajerumani au nchi zilizoendelea? Kuweka hizi formular ni kama wanatukomoa, yaani used vehicle unailipia usafirisahji, ushuru, kodi na mpaka faida ya middle men hata kama hayupo! Kodi zenyewe eti toka ikiwa mpya, kisha wanazuruzunga kwa tena unailipia kodi ikifika nchini, huku si ni kukomoana!

Hizi bei za kifisadi kwenye chart ya TRA mimi sikubaliani nazo, inakuwaje MSRP (Manufacturer's Suggested Retail Price) inakuwa ndogo mara dufu zaidi ya TRA RSP (Retail Suggested Price)? Mfano:-

- Prius ya 2014 Brand New MSRP ni US$ 24,500-27,000 wao TRA RSP ni US$ 53, 890
- BMW X3 ya 2013 Brand New MSRP ni US$ 48,500 wao TRA RSP ni US$ 116,567
- Corolla ya 2014 Brand New MSRP ni US$ 16,900 wao TRA RSP ni US$ 37,187 - 41,319
- RAV4 EV ya 2014 Brand New MSRP ni US$ 49,800 wao TRA ni US$ 77,945

Kwa mwendo huu wa kulinganishwa na uchumi wa wazungu, NI WIZI MTUPU. Kama ndiyo hivyo tunataka shule na hospitali zitoe huduma sawa na Ujerumani au uingereza.

Eti ku discourage watu, ajabu ya karne hii! Kiwanda hata cha Guta hatuna lakini tunakomalia oooh sijui nin sijui nn yaan shida
 
Back
Top Bottom