Valuation Calculator for Used Motor vehicles and CRSP List - TRA WANAKISIA BEI ZA MAGARI?

Valuation Calculator for Used Motor vehicles and CRSP List - TRA WANAKISIA BEI ZA MAGARI?

Motor vehicles with Import duty ,Excise Duty
and VAT but aged more than 10 years
Vehicles with more than 1000cc but not
exceeding 2000cc rate is 5% Excise duty,
and those with more than 2000cc rate is
10%
I/D = CIF * 25%
EXA = (CIF+I/D) * 20%
EX = (CIF+I/D) * 5%
VAT = (CIF+I/D+EXA+EX) * 18%

Asante Konzogwe kwa kunisaidia kuweka hizo fomula but sijajua hasa hizo gharama nazijua vipi mpaka nifanye calculations! Samahani kwa hili kwani siko mzuri sana kwenye hesabu.
 
[h=2][/h]
Wadau poleni na majukumu,naomba msaada wa kiuelewa ndugu zangu nimejalibu kuingia website ya be foward nimeona magari mbalimbali sasa nikawa nataka nichukue suzuki swift ya mwaka 2003 kwa sababu ndio ntaweza kuiweka barabarani daily na mpunga nilionao saizi mfukoni ni 6million.hiyo gari CIF ni USD 1996=TSH 3,309,368. ninahitaji BEI gani mpaka gari iwe mikononi mwangu wakuu.?nimeingia website ya TRA nimeshindwa kuelewa hesabu zao.Naomba msaada.​
 
ngoja waje wataalamu...ila hawa jamaa wa tra hapo si chini ya milioni mbili pamoj na ku clear..lakini kuna calculator yao pale...mimi pia nina kisuzuki kikenta kidogo toka zanzibar tulinunua kwa mtu...kinatuumiza kichwa wanadai milioni 1.5 .pamoja na clearance
 
Sio kweli kabisa! Kodi ni wizi mtupu wanafanya kukomoa ndo maana watu wanaona bora kukwepa tu...

kweli mkuu...mbona tunabandari alafu wanatupiga kodi za ajabu tu...sasa watu wa rwanda ambao hawana bandari wanaunafuu....aise kodi zinatubana sana jamani ndio maana watu wanakwepa tu...fikiri mtu mtaji wenywe wa kukopa.....mtu ndo anaanza kununua kagari afanyie biashara..alaf wanataka waongeze kodi kweny magari used ..sasa mlalahoi kununua jipya si rahisi....bora kuwe na dumping ....na magari ya dumping yapimwe uwezo wake tu..tuenjoy...kodi ni kandamizi
 
ngoja waje wataalamu...ila hawa jamaa wa tra hapo si chini ya milioni mbili pamoj na ku clear..lakini kuna calculator yao pale...mimi pia nina kisuzuki kikenta kidogo toka zanzibar tulinunua kwa mtu...kinatuumiza kichwa wanadai milioni 1.5 .pamoja na clearance

daa kweli tanzania ngumu,kweli mzee
 
Kwepa kodi kila inapobidi ili uendane na sera ya maisha bora ...... Vinginevyo ukijifanya mzalendo sana itakula kwako!!! (Nasema haya nikiwa na machungu moyoni, kwani uzalendo unagharimu)

mkuu tatizo kubwa pia je...hizo kodi zote zinafanya kazi husika?
 
ngoja waje wataalamu...ila hawa jamaa wa tra hapo si chini ya milioni mbili pamoj na ku clear..lakini kuna calculator yao pale...mimi pia nina kisuzuki kikenta kidogo toka zanzibar tulinunua kwa mtu...kinatuumiza kichwa wanadai milioni 1.5 .pamoja na clearance

daa kweli tanzania ngumu,kweli mzee
 
Jua ushuru wa TRA kwa kila gari kutoka nje (imported vehicles) kwa kutumia MOTOR VEHICLE TAX CALCULATOR SOFTWARE pamoja na gharama zote mpaka kulipata gari lako; clearing Fee, Port Charges, Shipping Line Fee, Storage Charge, Number Plate fee, Vehicle Registration. Insurance ndio gharama pekee ambayo utalipa baada ya kulipata gari lako.

Download For Free :[URL="http://taxmagari.wordpress.com/"]IUMVVS APP[/URL]

Thanks.
 
Afadhali ninunue hapa hapa, namtafuta fisadi mmoja namvua, labda itakuwa nafuu!!
 
jamani suzuki carry truck. FOB us$938, 650cc ya 1993/10.mpaka kuipokea gharama za TRA ni kiasi gani naombeni mjuzo
 
jamani suzuki carry truck. FOB us$938, 650cc ya 1993/10.mpaka kuipokea gharama za TRA ni kiasi gani naombeni mjuzo

MOTOR TAX CALCULATOR (IUMVVS) ni calculator inayoweza kutafuta ushuru wa TRA kwa kila gari lililoagizwa kutoka nje (Imported Vehicles) kwa urahisi zaidi. Pia Calculator hii itakuwezesha kujua gharama zingine zote mpaka kulipata gari lako; gharama ya gari na kusafirisha (CIF), clearing fee, port charges, storing charges, shipping line fee, number plate fee, vehicle registration (For Non Utility vehicles). Agiza gari ukiwa na jua gharama zote - KUWA HURU. Unaweza kutumia calculator hii kwa kui download kutoka kwenye link hapo chini.

VERSION : Correspond to TRA NEW VERSION - 19

DOWNLOAD CALCULATOR bonyeza hii link >>> MOTOR TAX CALCULATOR IUMVVS

Please provide us with useful feedback concerning this software so we can keep improving it.

Thanks

iTech Comp Group
Technical Support
 
Jamani mie nataka kuagiza either ya gari hizi.. Lakini sijui ushuru utakuaje.!!! Prado 2005 cif $20311 2700cc au subaru forester 2006 cif $9848 2000cc... Naomba msaada

[TABLE="width: 1024"]
[TR]
[TD="class: xl73, width: 409"]LANDCRUISER PRADO RZJ / VZJ / GRJ / TRJ - 125[/TD]
[TD="class: xl74, width: 85"]2005[/TD]
[TD="class: xl74, width: 130"]2001 CC & ABOVE [/TD]
[TD="class: xl74, width: 124"]SUV[/TD]
[TD="class: xl74, width: 100"][/TD]
[TD="class: xl74, width: 96"]PETROL[/TD]
[TD="class: xl69, width: 80"] 74,651 [/TD]
[/TR]
[/TABLE]
[TABLE="width: 316"]
[TR]
[TD="colspan: 3"]Aged 8 to 10 years[/TD]
[/TR]
[TR]
[TD="colspan: 2"]Current Retail Selling Price[/TD]
[TD] 74,651[/TD]
[/TR]
[TR]
[TD="colspan: 2"]Depreciation[/TD]
[TD]70%[/TD]
[/TR]
[TR]
[TD="colspan: 2"]Freight[/TD]
[TD] [/TD]
[/TR]
[TR]
[TD="colspan: 2"]Customs value[/TD]
[TD] 11,042[/TD]
[/TR]
[TR]
[TD="colspan: 2"]FOB Value[/TD]
[TD] 11,042[/TD]
[/TR]
[TR]
[TD="colspan: 2"]Import Duty 25%[/TD]
[TD] 2,761[/TD]
[/TR]
[TR]
[TD="colspan: 2"]Excise Base for vehicle aged more than 10 years[/TD]
[TD] 2,070[/TD]
[/TR]
[TR]
[TD="colspan: 2"]Excise Base[/TD]
[TD] 13,803[/TD]
[/TR]
[TR]
[TD="colspan: 2"]Excise Duty 10%[/TD]
[TD] 1,380[/TD]
[/TR]
[TR]
[TD="colspan: 2"]VAT Base[/TD]
[TD] 17,254[/TD]
[/TR]
[TR]
[TD="colspan: 2"]VAT 18%[/TD]
[TD] 3,106[/TD]
[/TR]
[TR]
[TD="colspan: 2"]Total Taxes[/TD]
[TD] 9,317[/TD]
[/TR]
[/TABLE]

[TABLE="width: 1024"]
[TR]
[TD="class: xl73, width: 409"]LANDCRUISER PRADO KZJ / KDJ / TRJ - 120 / 121[/TD]
[TD="class: xl74, width: 85"]2005[/TD]
[TD="class: xl74, width: 130"]2001 CC & ABOVE [/TD]
[TD="class: xl74, width: 124"]SUV[/TD]
[TD="class: xl74, width: 100"][/TD]
[TD="class: xl74, width: 96"]DIESEL[/TD]
[TD="class: xl69, width: 80"] 119,768 [/TD]
[/TR]
[/TABLE]
[TABLE="width: 316"]
[TR]
[TD="colspan: 3"]Aged 8 to 10 years[/TD]
[/TR]
[TR]
[TD="colspan: 2"]Current Retail Selling Price[/TD]
[TD] 119,768[/TD]
[/TR]
[TR]
[TD="colspan: 2"]Depreciation[/TD]
[TD]70%[/TD]
[/TR]
[TR]
[TD="colspan: 2"]Freight[/TD]
[TD] [/TD]
[/TR]
[TR]
[TD="colspan: 2"]Customs value[/TD]
[TD] 17,716[/TD]
[/TR]
[TR]
[TD="colspan: 2"]FOB Value[/TD]
[TD] 17,716[/TD]
[/TR]
[TR]
[TD="colspan: 2"]Import Duty 25%[/TD]
[TD] 4,429[/TD]
[/TR]
[TR]
[TD="colspan: 2"]Excise Base for vehicle aged more than 10 years[/TD]
[TD] 3,322[/TD]
[/TR]
[TR]
[TD="colspan: 2"]Excise Base[/TD]
[TD] 22,145[/TD]
[/TR]
[TR]
[TD="colspan: 2"]Excise Duty 10%[/TD]
[TD] 2,215[/TD]
[/TR]
[TR]
[TD="colspan: 2"]VAT Base[/TD]
[TD] 27,681[/TD]
[/TR]
[TR]
[TD="colspan: 2"]VAT 18%[/TD]
[TD] 4,983[/TD]
[/TR]
[TR]
[TD="colspan: 2"]Total Taxes[/TD]
[TD] 14,948[/TD]
[/TR]
[/TABLE]

[TABLE="width: 1024"]
[TR]
[TD="class: xl73, width: 409"]FORESTER[/TD]
[TD="class: xl74, width: 85"]≥ 2006[/TD]
[TD="class: xl74, width: 130"][/TD]
[TD="class: xl74, width: 124"][/TD]
[TD="class: xl74, width: 100"][/TD]
[TD="class: xl74, width: 96"][/TD]
[TD="class: xl69, width: 80"] 29,426 [/TD]
[/TR]
[/TABLE]
[TABLE="width: 316"]
[TR]
[TD="colspan: 3"]Aged 8 to 10 years[/TD]
[/TR]
[TR]
[TD="colspan: 2"]Current Retail Selling Price[/TD]
[TD] 29,426[/TD]
[/TR]
[TR]
[TD="colspan: 2"]Depreciation[/TD]
[TD]70%[/TD]
[/TR]
[TR]
[TD="colspan: 2"]Freight[/TD]
[TD] [/TD]
[/TR]
[TR]
[TD="colspan: 2"]Customs value[/TD]
[TD] 4,353[/TD]
[/TR]
[TR]
[TD="colspan: 2"]FOB Value[/TD]
[TD] 4,353[/TD]
[/TR]
[TR]
[TD="colspan: 2"]Import Duty 25%[/TD]
[TD] 1,088[/TD]
[/TR]
[TR]
[TD="colspan: 2"]Excise Base for vehicle aged more than 10 years[/TD]
[TD] 816[/TD]
[/TR]
[TR]
[TD="colspan: 2"]Excise Base[/TD]
[TD] 5,441[/TD]
[/TR]
[TR]
[TD="colspan: 2"]Excise Duty 10%[/TD]
[TD] 544[/TD]
[/TR]
[TR]
[TD="colspan: 2"]VAT Base[/TD]
[TD] 6,801[/TD]
[/TR]
[TR]
[TD="colspan: 2"]VAT 18%[/TD]
[TD] 1,224[/TD]
[/TR]
[TR]
[TD="colspan: 2"]Total Taxes[/TD]
[TD] 3,673[/TD]
[/TR]
[/TABLE]

Hizo ni in USD, Prado zipo model nyingi na ni bei tofauti so inabidi uangalie vizuri hapo.

  1. Unachofanya ni kudownload Excel file website ya TRA (Tumia PC! Simu itakutesa hapa) (Tanzania Revenue Authority - Calculators & tools).
  2. Angalia kwenye sheet ya RSP List and Calculator.. tafuta gari yako, chukua bei ya hiyo gari ilito kwenye sheet (BEI UNAYOLIPIA JAPAN HAITUMIKI KWENYE MAHESABU YA KODI!! TRA watatumia bei zilizo kwenye sheet yao)
  3. Ukishakua hiyo bei ibandike kwenye sheet ya kwanza "CALCULATOR" kwenye eneo linalofanana na gari yako i.e ukubwa wa engine na umri wa gari, jaza sehemu ya Depreciation percentage, itakupa bei kama nilivtyobandika hapo juu.
 
Wadau poleni na majukumu,naomba msaada wa kiuelewa ndugu zangu nimejalibu kuingia website ya be foward nimeona magari mbalimbali sasa nikawa nataka nichukue suzuki swift ya mwaka 2003 kwa sababu ndio ntaweza kuiweka barabarani daily na mpunga nilionao saizi mfukoni ni 6million.hiyo gari CIF ni USD 1996=TSH 3,309,368. ninahitaji BEI gani mpaka gari iwe mikononi mwangu wakuu.?nimeingia website ya TRA nimeshindwa kuelewa hesabu zao.Naomba msaada.​
SUZUKI Swift 2003, nimecalculate kuwa itapigwa kodi ya uchakazu.
[TABLE="width: 306"]
[TR]
[TD="colspan: 3"]Aged 11 years and more[/TD]
[/TR]
[TR]
[TD="colspan: 2"]Current Retail Selling Price[/TD]
[TD] 19,359[/TD]
[/TR]
[TR]
[TD="colspan: 2"]Depreciation[/TD]
[TD]80%[/TD]
[/TR]
[TR]
[TD="colspan: 2"]Freight[/TD]
[TD] 2[/TD]
[/TR]
[TR]
[TD="colspan: 2"]Customs value[/TD]
[TD] 2,000[/TD]
[/TR]
[TR]
[TD="colspan: 2"]FOB Value[/TD]
[TD] 1,998[/TD]
[/TR]
[TR]
[TD="colspan: 2"]Import Duty 25%[/TD]
[TD] 500[/TD]
[/TR]
[TR]
[TD="colspan: 2"]Excise Base for vehicle aged more than 10 years[/TD]
[TD] 750[/TD]
[/TR]
[TR]
[TD]Excise Base[/TD]
[TD] [/TD]
[TD] 2,500[/TD]
[/TR]
[TR]
[TD="colspan: 2"]Excise Duty 5%[/TD]
[TD] 125[/TD]
[/TR]
[TR]
[TD="colspan: 2"]VAT Base[/TD]
[TD] 3,375[/TD]
[/TR]
[TR]
[TD="colspan: 2"]VAT 18%[/TD]
[TD] 607[/TD]
[/TR]
[TR]
[TD="colspan: 2"]Total Taxes[/TD]
[TD] $1,982[/TD]

hiyo depriciation unaipata kwa kigezo kipi?najua usafirishaji ni dola 1800 kwa noah.nimeona noah ya 2005 ya dola 2250,kwenye rsp price ni 19360.total cost ya bandarini imekuja 3850 je ni sawa?
 
hiyo depriciation unaipata kwa kigezo kipi?najua usafirishaji ni dola 1800 kwa noah.nimeona noah ya 2005 ya dola 2250,kwenye rsp price ni 19360.total cost ya bandarini imekuja 3850 je ni sawa?

Depreciation inaenda kwa miaka, miaka 10 na zaidi ni 80%. Sipo kwenye PC kuona calculation ya Noah kwa sasa.
 
Uzalendo una gharama...na gharama yake ni umaskini na kubaki duni!!!
R.I.P WAZALENDO WALOKUFA MASKINI......
 
Back
Top Bottom