Pascal Mayalla
Platinum Member
- Sep 22, 2008
- 53,857
- 121,995
Nicky82, makosa mengi ya figure, yanatokea kutokana na kutokuwepo umakini, kwa vile JK sio makini, alihitaji timu ya watu makini karibu yake ili kuzui asiboronge, tangu ameingia ikulu, tumeshuhudia miborongo mingapi?, ukoseklanaji wa umakini unaopelekea miborogo ndio uzembe wenyewe, na pale unapohusisha upotevu wa fedha za umma ni kosa la jinai, kwa jina la 'matumizi mabaya ya madaraka'Mkuu Pasco, nilikuwa Mwembeyanga jana na hata wale waliokuwepo wanakumbuka Slaa alisema hizo ndio figure zilizoandikwa, ila hata yeyey alionya kuwa ikiwa kuna makosa kwenye maandishi (kama wewe unavyohisi) basi huo utakuwa ni uzembe wa hali ya juu kwa kiongozi mkuu wa nchi kusomewa taarifa hiyo na yeye asiulize kwa makini eneo hilo>
Mara nyingi ile miborongo ya ikulu, inasababishwa na wenye dhamana kutokuwakuwa makini, hivyo wanamponza bure JK, ila na JK mwenyewe angekuwa makini, iko miborongo mingine angeweza kabisa kuiepuka au kuizuia!, hii maana yake ni hata umakini wa JK ni queastionable, nilitegemea kwa vile umakini wa Dr.Slaa hauna mashaka, angelizungumzia hili katika tasnia ya uzembe kimahesabu na sio matumizi mabaya na ya kutisha ajabu ya fedha!.