2013 JF-Expert Member Joined Aug 2, 2011 Posts 11,360 Reaction score 6,069 Jan 29, 2013 #21 kwakweli hakuna njia sahihi ya kupunguza unene kama mazoezi, hizi njia nyingine haziwi sustainable. we acha pombe, anza kufanya mazoezi ya kukimbia, jiwekee ratiba hiyo. unywaji wa valeur, konyagi una-side effect.
kwakweli hakuna njia sahihi ya kupunguza unene kama mazoezi, hizi njia nyingine haziwi sustainable. we acha pombe, anza kufanya mazoezi ya kukimbia, jiwekee ratiba hiyo. unywaji wa valeur, konyagi una-side effect.