Tetesi: Van Dabroek kutua Simba SC

Daah sema ukimwangalia robertinho anatia huruma kweli,jamaa anafamilia inamtegemea haya maisha yakiamua kukuburuza yanakuburuza kweli
 
Hamna hela ya kumpa,pili kwa aina ya wachezaji wenu naye mtampa lawama.
 
Daah sema ukimwangalia robertinho anatia huruma kweli,jamaa anafamilia inamtegemea haya maisha yakiamua kukuburuza yanakuburuza kweli
Mkuu unajua maana ya mkataba? Kati ya mwajiri na mwajiriwa, mumojawapo akivunja mkataba maana yake anawajibika kumlipa mwenzake stahiki zake. Watu wanafurahi simba sc kumfukuza kocha, ukiambiwa mzigo/hela atakazolipwa utashangaa mkuu. Ni hela nyingi kweli.
 
Wameshindwa kutengeneza project mpya wanafanya recycling tu.
 
Tatizo la Simba ni uongozi.
 
Kama ni habari ya kusikitisha,ni Simba kumrudisha Kishingo.
Kocha aliyefeli timu nyingi hapa anakuja kufanya nini?

Sent from my Infinix X626 using JamiiForums mobile app
 
Daah sema ukimwangalia robertinho anatia huruma kweli,jamaa anafamilia inamtegemea haya maisha yakiamua kukuburuza yanakuburuza kweli

Hii ni faida kwake , timu imevunja mkataba watamlipa anaenda kula hela miguu juu
 
Imesemwa kuwa aliwahi kufundisha timu ya Simba, je.! wakati huo aliondokaje?Au naye alifurushwa?
 
Wamchukue Nabi otherwise team itamaliza top ten za mkiani
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…