Frank Wanjiru
JF-Expert Member
- Apr 12, 2012
- 22,719
- 40,739
Huyu hapaHuyu ndio Aden Rage?
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Huyu hapaHuyu ndio Aden Rage?
Simtambui naomba picha yake
Hamna hela ya kumpa,pili kwa aina ya wachezaji wenu naye mtampa lawama.Aliyewahi kuwa kocha wa Simba SC Sven Van Dabroek ambaye alifundisha FAR Rabat na Wydad Casablanca zote za nchini Morocco kisha akafundisha CR Belouzdad ya nchini Algeria anapewa nafasi kubwa ya kurithi mikoba ya Robertinho.
Kocha huyo kutoka Ubelgiji anatajwa kuwa chaguo la kwanza la uongozi wa juu wa Simba SC, na tayari ameanza mazungumzo ya awali, na kama mambo yatakwenda vizuri basi muda wowote kuanzia hivi sasa atatangazwa kuwa kocha mkuu klabuni hapo.
Kikosi cha Simba SC kinakwenda katika mchezo wa Ligi Kuu dhidi ya Namungo FC, ikiwa chini ya Kocha mzawa Seleman Matola pamoja na Kocha wa makipa Dan Cadena.
Simba SC itacheza mchezo huo keshokutwa Alhamis (Novemba 09), katika Uwanja wa Benjamin Mkapa jijini Dar es Salaam.
Nyie hamkumrudisha Kaze?Makolo hawanaga kinyaa, kama wanawake wa jf vile full kurudiana.
Khaaaaa
Yani unaachana na demu wako,miaka inapita kibao then unakuja mtongoza tena..
Mkuu unajua maana ya mkataba? Kati ya mwajiri na mwajiriwa, mumojawapo akivunja mkataba maana yake anawajibika kumlipa mwenzake stahiki zake. Watu wanafurahi simba sc kumfukuza kocha, ukiambiwa mzigo/hela atakazolipwa utashangaa mkuu. Ni hela nyingi kweli.Daah sema ukimwangalia robertinho anatia huruma kweli,jamaa anafamilia inamtegemea haya maisha yakiamua kukuburuza yanakuburuza kweli
Wameshindwa kutengeneza project mpya wanafanya recycling tu.Aliyewahi kuwa kocha wa Simba SC Sven Van Dabroek ambaye alifundisha FAR Rabat na Wydad Casablanca zote za nchini Morocco kisha akafundisha CR Belouzdad ya nchini Algeria anapewa nafasi kubwa ya kurithi mikoba ya Robertinho.
Kocha huyo kutoka Ubelgiji anatajwa kuwa chaguo la kwanza la uongozi wa juu wa Simba SC, na tayari ameanza mazungumzo ya awali, na kama mambo yatakwenda vizuri basi muda wowote kuanzia hivi sasa atatangazwa kuwa kocha mkuu klabuni hapo.
Kikosi cha Simba SC kinakwenda katika mchezo wa Ligi Kuu dhidi ya Namungo FC, ikiwa chini ya Kocha mzawa Seleman Matola pamoja na Kocha wa makipa Dan Cadena.
Simba SC itacheza mchezo huo keshokutwa Alhamis (Novemba 09), katika Uwanja wa Benjamin Mkapa jijini Dar es Salaam.
Aliyewahi kuwa kocha wa Simba SC Sven Van Dabroek ambaye alifundisha FAR Rabat na Wydad Casablanca zote za nchini Morocco kisha akafundisha CR Belouzdad ya nchini Algeria anapewa nafasi kubwa ya kurithi mikoba ya Robertinho.
Kocha huyo kutoka Ubelgiji anatajwa kuwa chaguo la kwanza la uongozi wa juu wa Simba SC, na tayari ameanza mazungumzo ya awali, na kama mambo yatakwenda vizuri basi muda wowote kuanzia hivi sasa atatangazwa kuwa kocha mkuu klabuni hapo.
Kikosi cha Simba SC kinakwenda katika mchezo wa Ligi Kuu dhidi ya Namungo FC, ikiwa chini ya Kocha mzawa Seleman Matola pamoja na Kocha wa makipa Dan Cadena.
Simba SC itacheza mchezo huo keshokutwa Alhamis (Novemba 09), katika Uwanja wa Benjamin Mkapa jijini Dar es Salaam.
Kama ni habari ya kusikitisha,ni Simba kumrudisha Kishingo.Aliyewahi kuwa kocha wa Simba SC Sven Van Dabroek ambaye alifundisha FAR Rabat na Wydad Casablanca zote za nchini Morocco kisha akafundisha CR Belouzdad ya nchini Algeria anapewa nafasi kubwa ya kurithi mikoba ya Robertinho.
Kocha huyo kutoka Ubelgiji anatajwa kuwa chaguo la kwanza la uongozi wa juu wa Simba SC, na tayari ameanza mazungumzo ya awali, na kama mambo yatakwenda vizuri basi muda wowote kuanzia hivi sasa atatangazwa kuwa kocha mkuu klabuni hapo.
Kikosi cha Simba SC kinakwenda katika mchezo wa Ligi Kuu dhidi ya Namungo FC, ikiwa chini ya Kocha mzawa Seleman Matola pamoja na Kocha wa makipa Dan Cadena.
Simba SC itacheza mchezo huo keshokutwa Alhamis (Novemba 09), katika Uwanja wa Benjamin Mkapa jijini Dar es Salaam.
Naunga mkono hoja. Tumpe Manzoki timu. Awe kocha na mchezaji.Kishingo sidhani kama ataishi maneno ya Rage...
Viongozi wa Simba wamlete Manzoki tu awe Kocha wa muda...
Vinginevyo Rage ajengewe mnara
Sent from my M10_Max using JamiiForums mobile app
Daah sema ukimwangalia robertinho anatia huruma kweli,jamaa anafamilia inamtegemea haya maisha yakiamua kukuburuza yanakuburuza kweli
Imesemwa kuwa aliwahi kufundisha timu ya Simba, je.! wakati huo aliondokaje?Au naye alifurushwa?Aliyewahi kuwa kocha wa Simba SC Sven Van Dabroek ambaye alifundisha FAR Rabat na Wydad Casablanca zote za nchini Morocco kisha akafundisha CR Belouzdad ya nchini Algeria anapewa nafasi kubwa ya kurithi mikoba ya Robertinho.