Ujana maji ya moto
Sioni kosa maana kuvaa ivyo hakuna uhusiano na uwanjaniKwa mtoto wa Kiafrika kuonyesha matuta katikati ya halaiki siyo jambo zuri hata kidogo,hayo mambo waachiwe wazungu na waarabu weusi tuna utamaduni wetu wa kuficha maungo yetu tuufuate.
Kuonyesha matuta mawili hapo chini ya kiuno hadharani huoni kama ni jambo la kuepukwa?Sioni kosa maana kuvaa ivyo hakuna uhusiano na uwanjani
Inawezekana walianza kuvaa vizuri baada ya milegezeo Yao kubinywaKuna Wanaovaa bila kuonyesha ila ni ******* wazuri mno
Siku hizi WANAUME wanapenda kuonekana matakoni kuliko WANAWAKE.Hii stahili iitwe kitakoni na sio mlegezo.
Ndo maaana.... Sasa nmeelewa why. Tuendelee na mfungo kwa sasa.Ni utoto tu
Me nilikuwa addicted na kuvaa mlegezo
Kipindi chote nasoma hadi form 6, niligombana na walimu sana hadi wakachoka wenyewe
Sasa nafunga mkanda mwenyewe, majukumu yananikaba
Kuvaa hivyo ni kutamanisha watu makalio yako. Utaliwa so kiwango kitashuka.Mkongwe wa uholanzi Van De Vart alitoa kijembe kwa LAMINE YAMAL NASRAOUI EBANA kuwa akiendelea kuvaa ivyo hatofika mbali
Je Kuna uhusiano wowote kati ya mlegezo na kiwango cha mpira
Mimi naona wakongwe wangenyamaza tu kila mtu ana uhuru wake binafsi namuona lamine Huwa anapendeza akivaa ivyo
Na bahati nzuri alimjibu kwa vitendo van de vart alifunga goal Kali na akashangilia kibishoo uku bukta yake ikiwa chini ya matako.
View attachment 3283007View attachment 3283008
Mmmmhhh......