Chizi Maarifa
JF-Expert Member
- Jul 29, 2013
- 14,762
- 32,386
Hatari Kinyama!Style tu acha kutamani makalio ya mwanaume mwenzako
Hatari Kinyama!Style tu acha kutamani makalio ya mwanaume mwenzako
Hehe kuna stage ukifika huambiwi, i can relate nilikuwa na tabia hizo na nyinginezo. After certain age nikajikuta nimeacha automaticNi utoto tu
Me nilikuwa addicted na kuvaa mlegezo
Kipindi chote nasoma hadi form 6, niligombana na walimu sana hadi wakachoka wenyewe
Sasa nafunga mkanda mwenyewe, majukumu yananikaba
Mkongwe wa uholanzi Van De Vart alitoa kijembe kwa LAMINE YAMAL NASRAOUI EBANA kuwa akiendelea kuvaa ivyo hatofika mbali
Je Kuna uhusiano wowote kati ya mlegezo na kiwango cha mpira
Mimi naona wakongwe wangenyamaza tu kila mtu ana uhuru wake binafsi namuona lamine Huwa anapendeza akivaa ivyo
Na bahati nzuri alimjibu kwa vitendo van de vart alifunga goal Kali na akashangilia kibishoo uku bukta yake ikiwa chini ya matako.