Van De Vart alitoa kijembe kwa LAMINE kuvaa mlegezo akiendelea kuvaa ivyo hatofika mbali

Ni utoto tu
Me nilikuwa addicted na kuvaa mlegezo
Kipindi chote nasoma hadi form 6, niligombana na walimu sana hadi wakachoka wenyewe
Sasa nafunga mkanda mwenyewe, majukumu yananikaba
Hehe kuna stage ukifika huambiwi, i can relate nilikuwa na tabia hizo na nyinginezo. After certain age nikajikuta nimeacha automatic
 

kwa sababu ni Shogariro mwenzako, ni lazima umuone anapendeza akivaa hivyo.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…