Duuh sijaelewa....waghana walimuua nani?[emoji15]Waghana ni Walivyomuua sana si ke wale me ni wote. Ukiwakuta afadhali afadhali wawe wame mix na wazungu.
Kama Jerry Rawlings alikuwa zings la HB lakini mke tofauti ingawa ninasikia mama alikuwa brainy kinoma na behind doors ndiye aliyekuwa anaendesha nchi.
Nime editDuuh sijaelewa....waghana walimuua nani?[emoji15]
OkNime edit
Mkali eeeh?Na mke wake si wa kumchezea
Mi naona bora hata waghana...wadada wa kinigeria siwaelewagi kabisa!Waghana ni wabovu sana si ke wale me ni wote. Ukiwakuta afadhali afadhali wawe wame mix na wazungu.
Kama Jerry Rawlings alikuwa zinga la HB lakini mke tofauti ingawa ninasikia mama alikuwa brainy kinoma na behind doors ndiye aliyekuwa anaendesha nchi.
Idea za ajabu kabisa. Kama mtu umemwamini ukamupatia mwili wako pesa ni kitu Gani msiweke kapu Moja?I love the interview, hasa pale alipomalizia kwa kusema mki pool income, mkapanga matumizi pamoja na kuamua ku save the rest, kunakuwa hakuna shida kwenye ndoa.
Tatizo hapa kwetu Bongo, ukiamua kuunganisha mapato na mume, utashangaa mwenzio anachota anaenda kulipia pango ya nyumba ndogo. Habari ya kuweka mapato kwenye kapu moja na mume labda kipato changu kiwe kiduchu sana ndio nitakubali maana nitajua nanufaika na fungu lake kubwa linaloingia kapuni, otherwise kila mtu abaki na pesa zake.
My dear, hujanielewa. Kama ni mtu asiye na matumizi ya hovyo hakuna shida kwenye ku pool income. Pamoja na kupena miili, mioyo na roho... asikwambie mtu, utility ya matumizi ya pesa inatofautiana sana. Kuna wengine wanajisikia furaha zaidi wakitumia kwa vitu vya ajabu kama kuhonga. Ni sawa kuhonga kama inakupa faraja na amani ya moyo wako, ila honga zako peke yako siyo zile tunazo pool. Zangu niache nikafanyie matumizi mengine ya maendeleo.Idea za ajabu kabisa. Kama mtu umemwamini ukamupatia mwili wako pesa ni kitu Gani msiweke kapu Moja?
Tambua Kuwa hata Kama mmeo akipata pesa kutoka kweye mshahara au mishe zake binafisi. Kuna asilimia inamuhusu mke wake kwani wawiliwi Hawa ni kitu kimoja. Hii inaamanisha lazima kuwe na namna ya kudhibitiana katika matumizi ya pesa. Ndiyo maana hao wawili wamedumu Kwa Kuwa wamedhibitiana vinginevyo wangekuwa wameachana. Hamuwezi kudumu katika mahusiano Kama kimwili mnashare but financially kila mmoja kivyake.My dear, hujanielewa. Kama ni mtu asiye na matumizi ya hovyo hakuna shida kwenye ku pool income. Pamoja na kupena miili, mioyo na roho... asikwambie mtu, utility ya matumizi ya pesa inatofautiana sana. Kuna wengine wanajisikia furaha zaidi wakitumia kwa vitu vya ajabu kama kuhonga. Ni sawa kuhonga kama inakupa faraja na amani ya moyo wako, ila honga zako peke yako siyo zile tunazo pool. Zangu niache nikafanyie matumizi mengine ya maendeleo.
Kwanini MaHB wakiwa na wanawake wa kawaida mnasema Marioo.. Nitoe uzoefu wangu, mara nyingi MaHB wanapenda wanawake wa kawaida ili nyumbani kuwe na UtulivuJamaa HB demu wake wa kawaida sana au jamaa ni marioo mama ana mpunga?
Mara nyingi inakuwaga hivo mkuu......unakuta mwana HB afu ndemu ng'ong'ozo........Jamaa HB demu wake wa kawaida sana au jamaa ni marioo mama ana mpunga?
Yupo Kama wewe kabisaShe is a true definition of an African queen, no observer nor carolite.
Ndio wengine huwa tuna date na wadada sura za baba zao,Waghana ni wabovu sana si ke wale me ni wote. Ukiwakuta afadhali afadhali wawe wame mix na wazungu.
Kama Jerry Rawlings alikuwa zinga la HB lakini mke tofauti ingawa ninasikia mama alikuwa brainy kinoma na behind doors ndiye aliyekuwa anaendesha nchi.
Wengi wanakuwa waaminifu na wenye busara.Ndio wengine huwa tuna date na wadada sura za baba zao,
Kwenye ndoa tunataka mdada muaminifu na mwenye busara, ikitokea ukapata Bahati mwenye sura na shape haya, ndio maana vichwa panzi wanatumika ila ndani wanakaa Wa kawaida ila wana brain.Wengi wanakuwa waaminifu na wenye busara.