Van Vicker and his Wife share their Marriage Secrets

Waghana ni Walivyomuua sana si ke wale me ni wote. Ukiwakuta afadhali afadhali wawe wame mix na wazungu.

Kama Jerry Rawlings alikuwa zings la HB lakini mke tofauti ingawa ninasikia mama alikuwa brainy kinoma na behind doors ndiye aliyekuwa anaendesha nchi.
Duuh sijaelewa....waghana walimuua nani?[emoji15]
 
Waghana ni wabovu sana si ke wale me ni wote. Ukiwakuta afadhali afadhali wawe wame mix na wazungu.

Kama Jerry Rawlings alikuwa zinga la HB lakini mke tofauti ingawa ninasikia mama alikuwa brainy kinoma na behind doors ndiye aliyekuwa anaendesha nchi.
Mi naona bora hata waghana...wadada wa kinigeria siwaelewagi kabisa!
 
I love the interview, hasa pale alipomalizia kwa kusema mki pool income, mkapanga matumizi pamoja na kuamua ku save the rest, kunakuwa hakuna shida kwenye ndoa.
Tatizo hapa kwetu Bongo, ukiamua kuunganisha mapato na mume, utashangaa mwenzio anachota anaenda kulipia pango ya nyumba ndogo. Habari ya kuweka mapato kwenye kapu moja na mume labda kipato changu kiwe kiduchu sana ndio nitakubali maana nitajua nanufaika na fungu lake kubwa linaloingia kapuni, otherwise kila mtu abaki na pesa zake.
 
Idea za ajabu kabisa. Kama mtu umemwamini ukamupatia mwili wako pesa ni kitu Gani msiweke kapu Moja?
 
My dear, hujanielewa. Kama ni mtu asiye na matumizi ya hovyo hakuna shida kwenye ku pool income. Pamoja na kupena miili, mioyo na roho... asikwambie mtu, utility ya matumizi ya pesa inatofautiana sana. Kuna wengine wanajisikia furaha zaidi wakitumia kwa vitu vya ajabu kama kuhonga. Ni sawa kuhonga kama inakupa faraja na amani ya moyo wako, ila honga zako peke yako siyo zile tunazo pool. Zangu niache nikafanyie matumizi mengine ya maendeleo.
 
Tambua Kuwa hata Kama mmeo akipata pesa kutoka kweye mshahara au mishe zake binafisi. Kuna asilimia inamuhusu mke wake kwani wawiliwi Hawa ni kitu kimoja. Hii inaamanisha lazima kuwe na namna ya kudhibitiana katika matumizi ya pesa. Ndiyo maana hao wawili wamedumu Kwa Kuwa wamedhibitiana vinginevyo wangekuwa wameachana. Hamuwezi kudumu katika mahusiano Kama kimwili mnashare but financially kila mmoja kivyake.
 
Waghana ni wabovu sana si ke wale me ni wote. Ukiwakuta afadhali afadhali wawe wame mix na wazungu.

Kama Jerry Rawlings alikuwa zinga la HB lakini mke tofauti ingawa ninasikia mama alikuwa brainy kinoma na behind doors ndiye aliyekuwa anaendesha nchi.
Ndio wengine huwa tuna date na wadada sura za baba zao,
 
Back
Top Bottom