Money Stunna
JF-Expert Member
- Aug 9, 2011
- 13,053
- 6,304
kuna vitu havijalishi sana katika ndoa.....Dah nampendaga sana huyu mkaka,Mungu awape maisha marefu na amani katika ndoa yenu....natamani ningekutana nae face to face nimuulize kawa hajawahi kucheat miaka yote tangu amjue mke wake
Dah nampendaga sana huyu mkaka,Mungu awape maisha marefu na amani katika ndoa yenu....natamani ningekutana nae face to face nimuulize kawa hajawahi kucheat miaka yote tangu amjue mke wake
umeona eeeh besti....Hahaha unataka ujue ili iweje? Acha uoga na kukimbiza kivuli. As long as gari lako halijachemsha, na halina pancha, kanyaga mafuta mama. Live happy today, yesterday is in the past.
Mungu awape kheri...
Mwanamke ananyanyua chuma, au macho yangu.
Nasikia mwanamke ndo anamuweka mwanaume mjini, ndo mana hana ubavu wa kumwacha plus na limbwata ndo kabisaaa....!!!
Hehe...talijua jiji la Ghana.
Mwanamke ananyanyua chuma, au macho yangu.
Nasikia mwanamke ndo anamuweka mwanaume mjini, ndo mana hana ubavu wa kumwacha plus na limbwata ndo kabisaaa....!!!
Hehe...talijua jiji la Ghana.
Aisee, nilikuwa sijui kabisa kama kuna kitu kinaitwa Ghollywod, mi nimezoea Hollywood na Bollywood! Hata huyo msanii simjui kwakweli!
kama umjui uyu basi hakuna movie yoyote unayoijua ya Nigeria sababu uyu movie nying anaigizia Nigeria ni superstar
Ni kweli sijawahi na si mfuatiliaji wa muvi za Nigeria.
Ni kweli kifupi filamu ya Afrika niliyoitamaza ni Nelia (kama sijakosea) kutoka South Afrika au Zimbabwe, lakini zote mpya zinazotoka Hollywood ni mfuatiliaji mzuri mno. Hata zile za Rwanda za Sometimes in April, Hotel Rwanda na Darfur nimezifuatilia, lakini hizo waigizaji wake asilimia kubwa ni kutoka America.ndio maana maana uyo ata ulaya na america wanamjua. jitahid ujue wasanii wa Africa.
najua apa nikikuuliza Rambo ni nani utakuwa unamjua
dada umeongea bonge la point. LIKEkuna vitu havijalishi sana katika ndoa.....
kinachojalisha ni kuwa wameweza kuishi miaka 10 ndani ya ndoa na bado wapo pamoja kwa amani....
kama amewahi kuchiti akashikwa au hakushikwa haijalishi saana.......
Kama hujaolewa, ukishaolewa na kufanikiwa kuwa ndoani kwa miaka 5 utaelewa nini naongelea.....
Kuwa na amani
nami nimehc mwanamke anapiga gym
kwa taharifa yako wanawake mnaojiita warembo uwa amuolewi mnabadilishwa tu wanaoilewa ni wale wa kawaida tu kutokana na tabia zao nzuri hakuna cha lumbwata wala nini.
hao wamependana kwa miaka 15 toka wakiwa shule na wana miaka 10 ya ndoa.
hakuna cha limbwata bibie