Van Vicker Celebrates 10 Years Wedding Anniversary With Family In Dubai (Photos)

Money Stunna

JF-Expert Member
Joined
Aug 9, 2011
Posts
13,053
Reaction score
6,304
Ghollywod actor Van Vicker is one of those fortunate to have married his first love....and today 19years after they met,they are celebrating 10years of marriage..10years with three beautiful children together.

He posted the following words to celebrate Adjoa his wife

''Its my 10th wedding anniversary TODAY, yeeaaaa. I pray the Lord grants me many, many, more years in marriage with my wife, Adjoa van Vicker. Amen. SEE US IN A FLASH BACK IN 1995 IN SECONDARY SCH. Its being 19yrs together.''

1367484_Van-Vicker-Wife-Children-VibeNaija-1_jpg2293fb0768826dcd23d51161489c1857

1367485_Van-Vicker-Wife-Children-VibeNaija-2_jpg7ad62c21ba7a4fed599ce8de2ab6a18a

1367486_Van-Vicker-Wife-Children-VibeNaija-3_jpg38db5420b22c0eb0e4f2c533746eff0e
 
Dah nampendaga sana huyu mkaka,Mungu awape maisha marefu na amani katika ndoa yenu....natamani ningekutana nae face to face nimuulize kawa hajawahi kucheat miaka yote tangu amjue mke wake
 
kuna vitu havijalishi sana katika ndoa.....
kinachojalisha ni kuwa wameweza kuishi miaka 10 ndani ya ndoa na bado wapo pamoja kwa amani....
kama amewahi kuchiti akashikwa au hakushikwa haijalishi saana.......
Kama hujaolewa, ukishaolewa na kufanikiwa kuwa ndoani kwa miaka 5 utaelewa nini naongelea.....
Kuwa na amani
 
Hahaha unataka ujue ili iweje? Acha uoga na kukimbiza kivuli. As long as gari lako halijachemsha, na halina pancha, kanyaga mafuta mama. Live happy today, yesterday is in the past.

umeona eeeh besti....
haya mambo mengine bana ni ya kuyaangalia tu.... as long as I am happy inatosha
 
Mungu awape kheri...

uyu anapenda sana familia yake. kuna siku alikuja Washington Dc mabinti wengi wazuri walimtongoza lakin jamaa akuwajali kabisa na aliweka msimamo mkali.

alikubali kupiga nao picha tu basi lakin wangekuwa akina cha domo lazima angelala nao
 
Mwanamke ananyanyua chuma, au macho yangu.
Nasikia mwanamke ndo anamuweka mwanaume mjini, ndo mana hana ubavu wa kumwacha plus na limbwata ndo kabisaaa....!!!
Hehe...talijua jiji la Ghana.
 
kwa taharifa yako wanawake mnaojiita warembo uwa amuolewi mnabadilishwa tu wanaoilewa ni wale wa kawaida tu kutokana na tabia zao nzuri hakuna cha lumbwata wala nini.

hao wamependana kwa miaka 15 toka wakiwa shule na wana miaka 10 ya ndoa.

hakuna cha limbwata bibie
 
nami nimehc mwanamke anapiga gym
 
Aisee, nilikuwa sijui kabisa kama kuna kitu kinaitwa Ghollywod, mi nimezoea Hollywood na Bollywood! Hata huyo msanii simjui kwakweli!
 
kama umjui uyu basi hakuna movie yoyote unayoijua ya Nigeria sababu uyu movie nying anaigizia Nigeria ni superstar
 
Ni kweli sijawahi na si mfuatiliaji wa muvi za Nigeria.

ndio maana maana uyo ata ulaya na america wanamjua. jitahid ujue wasanii wa Africa.

najua apa nikikuuliza Rambo ni nani utakuwa unamjua
 
Ni kweli kifupi filamu ya Afrika niliyoitamaza ni Nelia (kama sijakosea) kutoka South Afrika au Zimbabwe, lakini zote mpya zinazotoka Hollywood ni mfuatiliaji mzuri mno. Hata zile za Rwanda za Sometimes in April, Hotel Rwanda na Darfur nimezifuatilia, lakini hizo waigizaji wake asilimia kubwa ni kutoka America.
 
kuna vitu havijalishi sana katika ndoa.....
kinachojalisha ni kuwa wameweza kuishi miaka 10 ndani ya ndoa na bado wapo pamoja kwa amani....
kama amewahi kuchiti akashikwa au hakushikwa haijalishi saana.......
Kama hujaolewa, ukishaolewa na kufanikiwa kuwa ndoani kwa miaka 5 utaelewa nini naongelea.....
Kuwa na amani
dada umeongea bonge la point. LIKE
 
kwa taharifa yako wanawake mnaojiita warembo uwa amuolewi mnabadilishwa tu wanaoilewa ni wale wa kawaida tu kutokana na tabia zao nzuri hakuna cha lumbwata wala nini.

hao wamependana kwa miaka 15 toka wakiwa shule na wana miaka 10 ya ndoa.

hakuna cha limbwata bibie

Aliyekwambia Madame B ana shida na ndoa ni nani?
Nipo kwangu, lakini huduma zote nazipata tena zinanifuata zenyewe mpaka mlangoni kwangu.
Kuanzia vya kitandani mpaka vya unywele to ukucha.
Ndoa zenyewe hizi...akhaaa!!!
Waolewe tu, nitakuja ukumbini kukata mauno na kunywa bia zao.
Warereeeee....!!!
Money Stunna, povu limekutokaje, au Van Vicker ni kaka yako wa Hiyari.
Hehehe!
Mjini rareeeee...!!!
Pepereeeee....!!!

Hao waliokuwa ndoani na mie wala hatuna tofauti.
Labda kwa kuwa wao daily wanalala naked.
Hehe!!!
 
Last edited by a moderator:
Back
Top Bottom