Aliyekwambia Madame B ana shida na ndoa ni nani?
Nipo kwangu, lakini huduma zote nazipata tena zinanifuata zenyewe mpaka mlangoni kwangu.
Kuanzia vya kitandani mpaka vya unywele to ukucha.
Ndoa zenyewe hizi...akhaaa!!!
Waolewe tu, nitakuja ukumbini kukata mauno na kunywa bia zao.
Warereeeee....!!!
Money Stunna, povu limekutokaje, au Van Vicker ni kaka yako wa Hiyari.
Hehehe!
Mjini rareeeee...!!!
Pepereeeee....!!!
Hao waliokuwa ndoani na mie wala hatuna tofauti.
Labda kwa kuwa wao daily wanalala naked.
Hehe!!!
ayo maneno ya mkosaji
Mwanamke ananyanyua chuma, au macho yangu.
Nasikia mwanamke ndo anamuweka mwanaume mjini, ndo mana hana ubavu wa kumwacha plus na limbwata ndo kabisaaa....!!!
Hehe...talijua jiji la Ghana.
Yee... mke wake ni HR Manager...Mimi kwa kuwa ni mpenzi wa movies za west Africa huwa na google sana kuhusu maisha ya hawa mastaa...ndoa yao ina lots of ups and downs kama star mwingine yeyote...na amekuwa anatuhumiwa kuwa na mahusiano ya kimapenzi na mastaa wenzake...he is not a saint...kikubwa siku hazigandi...
Aliyekwambia Madame B ana shida na ndoa ni nani?
Nipo kwangu, lakini huduma zote nazipata tena zinanifuata zenyewe mpaka mlangoni kwangu.
Kuanzia vya kitandani mpaka vya unywele to ukucha.
Ndoa zenyewe hizi...akhaaa!!!
Waolewe tu, nitakuja ukumbini kukata mauno na kunywa bia zao.
Warereeeee....!!!
Money Stunna, povu limekutokaje, au Van Vicker ni kaka yako wa Hiyari.
Hehehe!
Mjini rareeeee...!!!
Pepereeeee....!!!
Hao waliokuwa ndoani na mie wala hatuna tofauti.
Labda kwa kuwa wao daily wanalala naked.
Hehe!!!
Ha ha haaaa.
Chizi wewe, sijakutaftia mwenzio
Shoga angu, MONEY Stuna kanitumbukia nyongo sipati kukwambia.
Eti ndoa, ndoa hyo...
Nisipoolewa Duniani nitaenda olewa mbele kwa mbele.
Sitaki kulamba garasa mie.
Hehehe...
Aniache nipumue mtoto wa marehemu mie.
Maadam msingi ninao (kiuno) tutaenda sawa.
wewe kuolewa bado sana ata ukiolewa ndoa aitodumu. nimetabiri hivo adi unitafute unywe kikombe cha stunna
Shoga angu, Money Stunna kanitumbukia nyongo sipati kukwambia.
Eti ndoa, ndoa hyo...
Nisipoolewa Duniani nitaenda olewa mbele kwa mbele.
Sitaki kulamba garasa mie.
Hehehe...
Aniache nipumue mtoto wa marehemu mie.
Maadam msingi ninao (kiuno) tutaenda sawa.
Mwanamke ananyanyua chuma, au macho yangu.
Nasikia mwanamke ndo anamuweka mwanaume mjini, ndo mana hana ubavu wa kumwacha plus na limbwata ndo kabisaaa....!!!
Hehe...talijua jiji la Ghana.
Umeelewa nilichokwambia jana eeeeeeeeeeee! ila mi nawafurahia kwa kweli, siku hizi hiyo miezi 9 tu ikipita baada ya ndoa mpo, watu huomba misa za shukurani!kuna vitu havijalishi sana katika ndoa.....
kinachojalisha ni kuwa wameweza kuishi miaka 10 ndani ya ndoa na bado wapo pamoja kwa amani....
kama amewahi kuchiti akashikwa au hakushikwa haijalishi saana.......
Kama hujaolewa, ukishaolewa na kufanikiwa kuwa ndoani kwa miaka 5 utaelewa nini naongelea.....
Kuwa na amani
mi nipo hapa nawasoma kimya kimya nachekaaaaaaaa! Kazi ipo jamani!