Van Vicker Celebrates 10 Years Wedding Anniversary With Family In Dubai (Photos)

Van Vicker Celebrates 10 Years Wedding Anniversary With Family In Dubai (Photos)

Aliyekwambia Madame B ana shida na ndoa ni nani?
Nipo kwangu, lakini huduma zote nazipata tena zinanifuata zenyewe mpaka mlangoni kwangu.
Kuanzia vya kitandani mpaka vya unywele to ukucha.
Ndoa zenyewe hizi...akhaaa!!!
Waolewe tu, nitakuja ukumbini kukata mauno na kunywa bia zao.
Warereeeee....!!!
Money Stunna, povu limekutokaje, au Van Vicker ni kaka yako wa Hiyari.
Hehehe!
Mjini rareeeee...!!!
Pepereeeee....!!!

Hao waliokuwa ndoani na mie wala hatuna tofauti.
Labda kwa kuwa wao daily wanalala naked.
Hehe!!!

ayo maneno ya mkosaji
 
Last edited by a moderator:
Yee... mke wake ni HR Manager...Mimi kwa kuwa ni mpenzi wa movies za west Africa huwa na google sana kuhusu maisha ya hawa mastaa...ndoa yao ina lots of ups and downs kama star mwingine yeyote...na amekuwa anatuhumiwa kuwa na mahusiano ya kimapenzi na mastaa wenzake...he is not a saint...kikubwa siku hazigandi...
Mwanamke ananyanyua chuma, au macho yangu.
Nasikia mwanamke ndo anamuweka mwanaume mjini, ndo mana hana ubavu wa kumwacha plus na limbwata ndo kabisaaa....!!!
Hehe...talijua jiji la Ghana.
 
Kweli dadangu, kuolewa na star, muda mwingine ni mpasuko wa moyo.
Ila vizuri, sisi huku nje tunaona maisha yao yanasonga na miaka 10, ila siri wanayo wenyewe kifuani.
 
Huyu mama anapenda mibanoooo, kwanini asivae nguo kulingana na mwili wake? haya ni kweli van vicker hajatulia ila as far as una hati miliki ya kuwa nae basi sawaaaa. kila la heri
 
Aliyekwambia Madame B ana shida na ndoa ni nani?
Nipo kwangu, lakini huduma zote nazipata tena zinanifuata zenyewe mpaka mlangoni kwangu.
Kuanzia vya kitandani mpaka vya unywele to ukucha.
Ndoa zenyewe hizi...akhaaa!!!
Waolewe tu, nitakuja ukumbini kukata mauno na kunywa bia zao.
Warereeeee....!!!
Money Stunna, povu limekutokaje, au Van Vicker ni kaka yako wa Hiyari.
Hehehe!
Mjini rareeeee...!!!
Pepereeeee....!!!

Hao waliokuwa ndoani na mie wala hatuna tofauti.
Labda kwa kuwa wao daily wanalala naked.
Hehe!!!

Ha ha haaaa.

Chizi wewe, sijakutaftia mwenzio
 
Last edited by a moderator:
Ha ha haaaa.

Chizi wewe, sijakutaftia mwenzio

Shoga angu, Money Stunna kanitumbukia nyongo sipati kukwambia.
Eti ndoa, ndoa hyo...
Nisipoolewa Duniani nitaenda olewa mbele kwa mbele.
Sitaki kulamba garasa mie.
Hehehe...
Aniache nipumue mtoto wa marehemu mie.
Maadam msingi ninao (kiuno) tutaenda sawa.
 
Last edited by a moderator:
Shoga angu, MONEY Stuna kanitumbukia nyongo sipati kukwambia.
Eti ndoa, ndoa hyo...
Nisipoolewa Duniani nitaenda olewa mbele kwa mbele.
Sitaki kulamba garasa mie.
Hehehe...
Aniache nipumue mtoto wa marehemu mie.
Maadam msingi ninao (kiuno) tutaenda sawa.

wewe kuolewa bado sana ata ukiolewa ndoa aitodumu. nimetabiri hivo adi unitafute unywe kikombe cha stunna
 
Last edited by a moderator:
wewe kuolewa bado sana ata ukiolewa ndoa aitodumu. nimetabiri hivo adi unitafute unywe kikombe cha stunna

Hahaha!
Umezunguka weeee...
Kumbe ulikuwa na lako.
Sasa kwa taarifa yako kikombe chako sinywi na kuolewa nitaolewa.
Labda uje kunimwagia tindikali.
Copy, mdogo wangu mwekundu.
 
Last edited by a moderator:
Shoga angu, Money Stunna kanitumbukia nyongo sipati kukwambia.
Eti ndoa, ndoa hyo...
Nisipoolewa Duniani nitaenda olewa mbele kwa mbele.
Sitaki kulamba garasa mie.
Hehehe...
Aniache nipumue mtoto wa marehemu mie.
Maadam msingi ninao (kiuno) tutaenda sawa.

Ha ha haaa! Madame B umenichekesha jamani mweeeeeee! Kwi kwi kwiiii! Eti maadam msingi ninao (kiuno) .....
Haki ya nani haufai kwa chumvi wala sukari! Lol!
 
Last edited by a moderator:
Mwanamke ananyanyua chuma, au macho yangu.
Nasikia mwanamke ndo anamuweka mwanaume mjini, ndo mana hana ubavu wa kumwacha plus na limbwata ndo kabisaaa....!!!
Hehe...talijua jiji la Ghana.

Wivu unakusumbua. Na inaelekea una mgogoro na mpenzi wako. Pole sana.
 
Mpaka leo una mawazo ya limbwata!!! Limbwata ni wewe mwenyewe katika usafi, utaalamu wa mapishi, kauli nzuri, upendo na utaalamu na uwajibikaji kunako 6 x6. Hiyo ndiyo limbwata mpendwa!
 
ha ha haaa! madame b umenichekesha jamani mweeeeeee! Kwi kwi kwiiii! Eti maadam msingi ninao (kiuno) .....
Haki ya nani haufai kwa chumvi wala sukari! Lol!
mi nipo hapa nawasoma kimya kimya nachekaaaaaaaa! Kazi ipo jamani!
 
kuna vitu havijalishi sana katika ndoa.....
kinachojalisha ni kuwa wameweza kuishi miaka 10 ndani ya ndoa na bado wapo pamoja kwa amani....
kama amewahi kuchiti akashikwa au hakushikwa haijalishi saana.......
Kama hujaolewa, ukishaolewa na kufanikiwa kuwa ndoani kwa miaka 5 utaelewa nini naongelea.....
Kuwa na amani
Umeelewa nilichokwambia jana eeeeeeeeeeee! ila mi nawafurahia kwa kweli, siku hizi hiyo miezi 9 tu ikipita baada ya ndoa mpo, watu huomba misa za shukurani!
 
Ha ha haaa! Madame B umenichekesha jamani mweeeeeee! Kwi kwi kwiiii! Eti maadam msingi ninao (kiuno) .....
Haki ya nani haufai kwa chumvi wala sukari! Lol!

Hahaha mwaJ,
We acha tu.
Mjini kuna mambo.
Na mambo yenyewe si ya kitoto.
 
Last edited by a moderator:
Back
Top Bottom