pumzihaiuzwi
JF-Expert Member
- Mar 27, 2015
- 3,273
- 3,083
Umesikiliza hyo Album mkuu?
Shida sio hasara ila kutengeneza kitu cha quality.... Inaweza isirudi kwenye mauzo ya album ila ikamfungulia fursa za kupata pesa zaidi mfano kusajiliwa na label za pesa ndefu au kupata shows nyingi dunia nzima ambayo itairudisha hiyo million 100 yakeSo si kashapata loss because mpaka sasa kauza copy 40 na each copy 10000=ana million 40
Hawa watu huwa wanatudanganya sana, wasanii wanasemaga wakienda South video wanalipa mil.30 hadi 50, ila Vannesa anakwambia video zote zile + Audio + Promo ni only Mil 100. Wasanii bwana!Hapana naweza mtetea ,kwa video zote zile mil 100 tu? Sasa Diamond video moja tu anakwambia milioni 70 albam nzima si atasema katumia bilioni 1?
Hawa watu huwa wanatudanganya sana, wasanii wanasemaga wakienda South video wanalipa mil.30 hadi 50, ila Vannesa anakwambia video zote zile + Audio + Promo ni only Mil 100. Wasanii bwana!
Hapo nashindwa kuelewa yupi yuko sahihi, Vanessa ama kina Diamond?!Kwahiyo hapo kazidisha pia?