Vanesa mdee ataja mamilioni yaliyotumika kutengeneza MoneyMonday

Vanesa mdee ataja mamilioni yaliyotumika kutengeneza MoneyMonday

Umesikiliza hyo Album mkuu?

Yeah na sikuipend kwa sababu ni kama copy and paste....yaani nyimbo zina mapigo ya Nigeria, America...sasa sijuwi anataka kutambulisha kitu gani. Yaani albam haina kabisa flavor ya Tanzania. So sad....bongo fleva iuliwe tu, haitambulishi Tanzania hata kidogo, tunakopi tu vitu vya watu na kubatiza kuwa vyetu.
 
So si kashapata loss because mpaka sasa kauza copy 40 na each copy 10000=ana million 40
Shida sio hasara ila kutengeneza kitu cha quality.... Inaweza isirudi kwenye mauzo ya album ila ikamfungulia fursa za kupata pesa zaidi mfano kusajiliwa na label za pesa ndefu au kupata shows nyingi dunia nzima ambayo itairudisha hiyo million 100 yake

Btw alisema usiku wa kwanza aliunza nakala mia 700 sio 40 hivyo 700 × 10,000 = 7,000,000 and still counting
 
Hapana naweza mtetea ,kwa video zote zile mil 100 tu? Sasa Diamond video moja tu anakwambia milioni 70 albam nzima si atasema katumia bilioni 1?
Hawa watu huwa wanatudanganya sana, wasanii wanasemaga wakienda South video wanalipa mil.30 hadi 50, ila Vannesa anakwambia video zote zile + Audio + Promo ni only Mil 100. Wasanii bwana!
 
Hawa watu huwa wanatudanganya sana, wasanii wanasemaga wakienda South video wanalipa mil.30 hadi 50, ila Vannesa anakwambia video zote zile + Audio + Promo ni only Mil 100. Wasanii bwana!

Kwahiyo hapo kazidisha pia?
 
Back
Top Bottom