Kinoamiguu
JF-Expert Member
- Nov 29, 2018
- 11,936
- 15,196
Miaka ya nyuma kidogo alikuwepo mdada pale Ambiance. Alikuwa anaitwa Vanesa kisu cha maana yani. Mrefu mnee kidogo maji ya kunde hivi ana mwanya na macho ya uchokozi sauti nzuriii. dah kila nikienda pale simkuti sijui yupo wapi namtafuta